Tusaidiane figure hizi za kura Igunga jamani mi nimeshindwa!

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
966
Hbr,jamani hvi hii imeshindwa kutumia hata kalkuleta kupiga hesabu za kura?.

According to mwananchi na tanzania daima... wananchi waliojitokeza kupiga kura ni 53672 na zilizoharibika ni 1185 yan kura halali ni 52487 na mchanganua ni CCM-26484,CDM-23260,CUF-2104,AFP-235,CHAUSTA-182,DP-76 NA SAU-63 zinakupa jumla ya 52404.

Jaman kula halali 52487 ni tofauti ya 83,.je 83 zimeenda wapi?,hata kama 83 ni kura chache je hazipunguz imani ya watu kwa tume?,au ndo walichakachukua vibaya wakasahau kubalance data?.
 
Mnh hii sasa kali sikuwahi kupitia hizi hesabu vizuri kumbe ni ivi! Mwe mwe mwe utafikiri zile hesabu za kutafuta chenji bana..
 
mkuu,mi nimepitia kwa umakini na nimeona hyo tofauti ya kura 83 bwana,ni vizur tukajua zimeenda wapi,.83 ni nying sio error
 
Hbr,jamani hvi hii imeshindwa kutumia hata kalkuleta kupiga hesabu za kura?,according to mwananchi na tanzania daima... wananchi waliojitokeza kupiga kura ni 53672 na zilizoharibika ni 1185 yan kura halali ni 52487 na mchanganua ni CCM-26484,CDM-23260,CUF-2104,AFP-235,CHAUSTA-182,DP-76 NA SAU-63 zinakupa jumla ya 52404. Jaman kula halali 52487 ni tofauti ya 83,.je 83 zimeenda wapi?,hata kama 83 ni kura chache je hazipunguz imani ya watu kwa tume?,au ndo walichakachukua vibaya wakasahau kubalance data?.
Rudi Gumbaru wewe hutufai humu ndani: 52404+1185+83=53672 kama hutaelewa basi hata gumbaru bado utawasumbua walimu wetu rudi kijijini tkuletee Powertiller ukalime.
 
Naipnda JF kwa mambo kama haya .For sure we better be told the truth maana walisema wamefanya kwahaki .Kingine ambacho nilishagazwa nacho ni pale Masako na ITV walikaza mno mno kutupatia idadi ya wana Igunga 171,000, bila kusema kwamba mkosa yako NEC kwa kuwa daftari halikupitiwa kusahihisha ili watu wapate kupiga kura .Nikajua wanatumia TV kama cover up na NEC sasa wameona hujuma hiyo na bado kura 83 hazionekani .Chadema watatoa tamko wacha tungojee tuone .
 
Ukisoma Majira matokeo ni kama ifuatavyo:CCM:26,484,Chadema:23,260,CUF:2,104,SUA 83,DP:76,AFP 235,Chausta 182,UPDP 63,zilizoharibika 1,185.Jumlisha tupe jibu
Hbr,jamani hvi hii imeshindwa kutumia hata kalkuleta kupiga hesabu za kura?,according to mwananchi na tanzania daima... wananchi waliojitokeza kupiga kura ni 53672 na zilizoharibika ni 1185 yan kura halali ni 52487 na mchanganua ni CCM-26484,CDM-23260,CUF-2104,AFP-235,CHAUSTA-182,DP-76 NA SAU-63 zinakupa jumla ya 52404. Jaman kula halali 52487 ni tofauti ya 83,.je 83 zimeenda wapi?,hata kama 83 ni kura chache je hazipunguz imani ya watu kwa tume?,au ndo walichakachukua vibaya wakasahau kubalance data?.
 
Rudi Gumbaru wewe hutufai humu ndani: 52404+1185+83=53672 kama hutaelewa basi hata gumbaru bado utawasumbua walimu wetu rudi kijijini tkuletee Powertiller ukalime.
kaka asante sana lkn nadhan hukunielewa,.ni hvi ukijumla kula zote kwa kila chama zinakupa jumla ya 52404 bila zile 1185 zilizoharibika maana yake ukichukua 52404 jumlisha 1185 zikupe jumla ya 53672 waliojitokeza kupig kura lkn hazifiki huko ndo mimi nikauliza 83 zimeenda wapi?,pls mkuu soma vzur post uone makosa ucje juu tu eti niende ngumbaru..asante msomi.
 
Ukisoma Majira matokeo ni kama ifuatavyo:CCM:26,484,Chadema:23,260,CUF:2,104,SUA 83,DP:76,AFP 235,Chausta 182,UPDP 63,zilizoharibika 1,185.Jumlisha tupe jibu
Surname,data za majira zipo sawa na magazet niliyoyataja hapo juu,.yan ukijumlisha kura zote za vyama na zilizoharibika zinakupa 53589 pungufu ya kura 83 maana waliojitokeza kupiga kura ni 53672,.swali ni je 83 zimeenda wapi?. 83 ni error kweli?
 
ndio maana kila siku mnamlaumu jk kusign document bila kuzisoma ambacho sio kitu kizuri. Hii inatupa moyo kuwa hata wenzetu wengine wakisoma hata magazeti wanafanya pia reasoning. Nimeipenda!
Mnh hii sasa kali sikuwahi kupitia hizi hesabu vizuri kumbe ni ivi! Mwe mwe mwe utafikiri zile hesabu za kutafuta chenji bana..
 
Rudi Gumbaru wewe hutufai humu ndani: 52404+1185+83=53672 kama hutaelewa basi hata gumbaru bado utawasumbua walimu wetu rudi kijijini tkuletee Powertiller ukalime.

We mwenyewe unachemka tu hujatoa jibu. Issue hapa ni kwamba hayo magazeti mawili ya mwananchi na TZ Daima wamefanya typing error ya kuwapa kura 63 SAU wakati ni 83, na hizo 63 ndo zilikuwa za UPDP ambayo hawajaiandika kabisa.
 
Lukindo!,simu haina kitufe cha thanks ningekugongea moja
 
We mwenyewe unachemka tu hujatoa jibu. Issue hapa ni kwamba hayo magazeti mawili ya mwananchi na TZ Daima wamefanya typing error ya kuwapa kura 63 SAU wakati ni 83, na hizo 63 ndo zilikuwa za UPDP ambayo hawajaiandika kabisa.
hurricane,.jamaa kasema yeye kashindwa hvyo tusaidiane kujua 83 zimeenda wapi?,sasa kulaumu na hasira zinatoka wapi?
 
Mkuu usiumize kichwa kuwajibu hao waliopata F hesabu,ni kweli kuna utofauti wa kura 83,Nec na nape ni vilaza kweli wameshindwa kubalance mahesabu washaumbuka haaaaaaaa ngoja tuwasubiri chadema walifikishe kwa NEC,CHakachua nichakachue nakutua nec pwaaaaaaaaaaaa
 
:CCM:26,484,Chadema:23,260,CUF:2,104,SUA 83,DP:76,AFP 235,Chausta 182,UPDP 63,zilizoharibika 1,185.Jumlisha tupe jibu

26,484+23,260+2,104+83+76+235+182+63+1185=??????
Acheni uvivu wa kufikiri,au ndio ugumu wa hesabu?
 
hurricane,wapi nilipochemka mkuu,.ok twende taratiiibu 2tafika tu. Hvi magazeti manne niliyopitia yamefanya typing error?,mwananchi,tanzania daima,majira na habari leo yote yametype vibaya?. Hebu tujiulize tu 83 zipo wapi huo utetezi mwingne sio wa kweli...
 
kaka asante sana lkn nadhan hukunielewa,.ni hvi ukijumla kula zote kwa kila chama zinakupa jumla ya 52404 bila zile 1185 zilizoharibika maana yake ukichukua 52404 jumlisha 1185 zikupe jumla ya 53672 waliojitokeza kupig kura lkn hazifiki huko ndo mimi nikauliza 83 zimeenda wapi?,pls mkuu soma vzur post uone makosa ucje juu tu eti niende ngumbaru..asante msomi.

Thatha hajui anachojibu, karukia tu kiushabiki, kwa wanaojuwa hesabu (kama sio Hisabati) wala asingekurupuka kujibu. Namhurumia sana Thatha!! Na hiyo nd'o taswira ya wachangiaji wenye kutohitaji mabadiliko na kuelewa. Pole sana Pawaga, huhitaji kwenda ngumbaru isipokuwa unachohitaji ni kumuonyesha Thatha njia ya kwenda ngumbaru chini ya mwembe, atawakuta wenzie watamsaidia.
 
Back
Top Bottom