Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 310
kazi nzuri. Nadhani tatizo ni hesabu, kaugonjwa ketu ka sekondari
hakuwa na full data ndio maana!
kazi nzuri. Nadhani tatizo ni hesabu, kaugonjwa ketu ka sekondari
hahahahaa mkuu savimbi jr, big up sanaMkuu usiumize kichwa kuwajibu hao waliopata F hesabu,ni kweli kuna utofauti wa kura 83,Nec na nape ni vilaza kweli wameshindwa kubalance mahesabu washaumbuka haaaaaaaa ngoja tuwasubiri chadema walifikishe kwa NEC,CHakachua nichakachue nakutua nec pwaaaaaaaaaaaa
Wewe ndio umefanya makosa ktk kunukuu - Kura 63 hapo juu ni za UPDP ambayo hukuki orodhesha na kura 83 unazozitafuta ni za SAU. Yyama viko vinane sio saba.Hbr,jamani hvi hii imeshindwa kutumia hata kalkuleta kupiga hesabu za kura?.
According to mwananchi na tanzania daima... wananchi waliojitokeza kupiga kura ni 53672 na zilizoharibika ni 1185 yan kura halali ni 52487 na mchanganua ni CCM-26484,CDM-23260,CUF-2104,AFP-235,CHAUSTA-182,DP-76 NA SAU-63 zinakupa jumla ya 52404.
Jaman kula halali 52487 ni tofauti ya 83,.je 83 zimeenda wapi?,hata kama 83 ni kura chache je hazipunguz imani ya watu kwa tume?,au ndo walichakachukua vibaya wakasahau kubalance data?.
[JFMP3]http://www.dullonet.com/wp-content/uploads/2011/10/magayane-matokeo.mp3[/JFMP3]
hiyo sauti ya Magayane
Mkuu nimefuatillia hiyo sauti ya Magayane kwa kweli kuna haja ya kwenda Mahakamani. Aliyepata kura 235 ametamka ( laki mbili thelathini na tano) na yule aliyepata kura 182 ametamka ( laki moja themanini na mbili ) hii haiingii akilini hata kidogo. Hebu makamanda wetu CDM tuhabarisheni kuhusu hili. Kumbe ndiyo maana mtihani wa hesabu kuna majibu ya kuchagua A, B, C, A&B yote sawa. Kazi kweli kweli.[JFMP3]http://www.dullonet.com/wp-content/uploads/2011/10/magayane-matokeo.mp3[/JFMP3]
hiyo sauti ya Magayane
mkuu,mi nimepitia kwa umakini na nimeona hyo tofauti ya kura 83 bwana,ni vizur tukajua zimeenda wapi,.83 ni nying sio error
kuna tatizo hapa la kimahesabu
baba enock,safi sana wewe umenielewesha nikaelewa kbs...asante sana lkn hata hvyo still 2nahitaji tume yenye wataalam sio kama yule jamaa wa janaPawaga, Magazeti ndiyo yamewakosea wasomaji! Kwa maana hata "Daily News", wametaja matokeo ya Wagombea wa CUF,CCM, & CHADEMA, halafu wakaandika "... while other candidates shared less than 500 votes"... Lakini kwa mujbu wa matokeo ya Tume ya Uchaguzi .. "Other Candidates shared more than 500 votes"
jamaa una elim gan?,nani amesema 83 zitaipa ushind CDM?. Tunajiuliza 83 zipo wapi?.soma uelewe ndo uchangie sio unakurupuka hvi huona unajishushia hadhi kama tume ya uchaguz ilivyofanya jana?.hivi hizo 83 zikiongezwa Chadema watakuwa wameshinda?
hata mimi napata kigugumizi hasa nikisiliza msimamizi wa uchaguzi wakati akitangza matokeo. kama mlikuwa makini, kuna chama alikip[a kura LAKI MBILI na usheee hivi na kingine akakipa laki moja na zaidi. Cha kushangaza si wa laki mbili wala wa laki moja aliyetangazwa mshindi bali ni KAFUMU wa CCM aliyepata kura 56 elfu.
kama kuna mtu alipata recording ya kutangaza matokeo, aiweke hapa tuanze kutafakari upya.