Tusahau mradi wa bomba la mafuta si mara ya kwanza kwa Museveni

Sio wapinga maendeleo, sema wakosoaji wa njia zinazotumika kuleta maendeleo ya nchi. Kumbuka hao wanaopinga hizo mbinu wengi tuko vizuri kimaendeleo yetu binafsi ndio maana hatujinyenyekezi kupata teuzi ili tuepukane na umasikini.

In fact hata (especially hata) ambae hayupo vizuri kimaendeleo ndie hasa asiestahili kujipendekeza. Maana kujipendekeza ni kujinyima uwezo wa kuwa na msimamo na hivyo kushindwa kutumia kipaji ulichonacho ili kujiletea maendeleo.

Ni aibu kwa mtu mzima (especially mwanaume na kende zako) kusimama hadharani kumsifia mtu mwingine TENA AMBAE NI MUONGO ALIETHIBITIKA kisa kakuteua. MUNGU apishie mbali.
 
mkuu unataka kusema wale viongozi wa kidini pia haya maneno yanawahusu!
 
Sio wapinga maendeleo, sema wakosoaji wa njia zinazotumika kuleta maendeleo ya nchi. Kumbuka hao wanaopinga hizo mbinu wengi tuko vizuri kimaendeleo yetu binafsi ndio maana hatujinyenyekezi kupata teuzi ili tuepukane na umasikini.
Hivi ni kweli kila mteuliwa alijpendekeza kwanza!
 
Kipara kipya tangu lini akawa upande wa ukawa?
Mwenye kulipenda taifa lake hapaswi kuwa ukawa au ccm, anapaswa kuwa mkweli kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Vipi kuhusu yule anazunguka kwenye vyombo vya habari vya magharibi ina maana si mkweli maana yupo ukawa!
 
In fact hata (especially hata) ambae hayupo vizuri kimaendeleo ndie hasa asiestahili kujipendekeza. Maana kujipendekeza ni kujinyima uwezo wa kuwa na msimamo na hivyo kushindwa kutumia kipaji ulichonacho ili kujiletea maendeleo.

Ni aibu kwa mtu mzima (especially mwanaume na kende zako) kusimama hadharani kumsifia mtu mwingine TENA AMBAE NI MUONGO ALIETHIBITIKA kisa kakuteua. MUNGU apishie mbali.
Inapotokea mtu mtu kufanya jambo zuri linalostahili sifa, jee asipongezwe ili usionekane unajipendekeza?.

Kuna kupongeza genuinely na kupongeza kwa kujipendekeza. Kupongeza genuinely ni kupongeza kwa mazuri ya ukweli na sio kwa nia ya kujipendekeza, kujikomba komba au kutafuta uteuzi.
Namna ya kuwajua wapongezaji genuine ni kuwa wa kweli daima, licha ya kumpongeza kwa mazuri, siku akikosea unamkosoa, akiboronga unamboronga, akichemsha unamchemsha, akijiinua unamchemsha, akijitutumua unamkosoa.
Hivi ndivyo tufanyavyo sisi wakosoaji genuine kazi yetu sio kuukosoa bali kwenye mazuri ya ukweli tunapongeza.

Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri Tupongeze, Rais Magufuli is Changing For The Better!. - JamiiForums
P.
 
Umenena vyema mkuu paskali!
 
Nakubaliana nawe, hata nilipoandika nilichoandika nilikuwa na maana hiyo.
 
Vipi mkuu ???? Watu wa Tanga tena ni vimeo? Imekuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukimeo wa mitu ya Tanga uko hivi:
Katika Chaguzi zote Kuu CCM huwa wanapata kura nyingi sana Mkoa wa Tanga kuliko mikoa yote kwa almost 99%. Hakuna upinzani kwa vile watu ni vimeo(shule ndogo na ufahamu wa mambo ya kisiasa ni sifuri). Tangu Mfumo wa vyama vingi uanze Mkoa wa Tanga CCM walikuwa hawajawahi kupoteza jimbo la Uchaguzi kwa Upinzani isipokuwa tu mwaka 2015 Jiji la Tanga lilipochukuliwa na CUF kwa mbinde saana...!!
 
Back
Top Bottom