S.Liondo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,408
- 1,712
Hapo penye Tanga, Ongezea -nyika.afadhali umelisema. watu wa tanga nao ni vimeo vya kutupa! (mtanisamehe)
Hapo penye Tanga, Ongezea -nyika.afadhali umelisema. watu wa tanga nao ni vimeo vya kutupa! (mtanisamehe)
Sema mawazo kidogo yalifanana na wapinga maendeleo!
Sema mawazo kidogo yalifanana na wapinga maendeleo!
Nilikuelewa ulichoandika ila nilikupa jibu stahiki kwa ulichoandika.
Sio wapinga maendeleo, sema wakosoaji wa njia zinazotumika kuleta maendeleo ya nchi. Kumbuka hao wanaopinga hizo mbinu wengi tuko vizuri kimaendeleo yetu binafsi ndio maana hatujinyenyekezi kupata teuzi ili tuepukane na umasikini.
mkuu unataka kusema wale viongozi wa kidini pia haya maneno yanawahusu!In fact hata (especially hata) ambae hayupo vizuri kimaendeleo ndie hasa asiestahili kujipendekeza. Maana kujipendekeza ni kujinyima uwezo wa kuwa na msimamo na hivyo kushindwa kutumia kipaji ulichonacho ili kujiletea maendeleo.
Ni aibu kwa mtu mzima (especially mwanaume na kende zako) kusimama hadharani kumsifia mtu mwingine TENA AMBAE NI MUONGO ALIETHIBITIKA kisa kakuteua. MUNGU apishie mbali.
Hivi ni kweli kila mteuliwa alijpendekeza kwanza!Sio wapinga maendeleo, sema wakosoaji wa njia zinazotumika kuleta maendeleo ya nchi. Kumbuka hao wanaopinga hizo mbinu wengi tuko vizuri kimaendeleo yetu binafsi ndio maana hatujinyenyekezi kupata teuzi ili tuepukane na umasikini.
Kipara kipya tangu lini akawa upande wa ukawa?
Hivi ni kweli kila mteuliwa alijpendekeza kwanza!
Vipi kuhusu yule anazunguka kwenye vyombo vya habari vya magharibi ina maana si mkweli maana yupo ukawa!Kipara kipya tangu lini akawa upande wa ukawa?
Mwenye kulipenda taifa lake hapaswi kuwa ukawa au ccm, anapaswa kuwa mkweli kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Inapotokea mtu mtu kufanya jambo zuri linalostahili sifa, jee asipongezwe ili usionekane unajipendekeza?.In fact hata (especially hata) ambae hayupo vizuri kimaendeleo ndie hasa asiestahili kujipendekeza. Maana kujipendekeza ni kujinyima uwezo wa kuwa na msimamo na hivyo kushindwa kutumia kipaji ulichonacho ili kujiletea maendeleo.
Ni aibu kwa mtu mzima (especially mwanaume na kende zako) kusimama hadharani kumsifia mtu mwingine TENA AMBAE NI MUONGO ALIETHIBITIKA kisa kakuteua. MUNGU apishie mbali.
Umenena vyema mkuu paskali!Inapotokea mtu mtu kufanya jambo zuri linalostahili sifa, jee asipongezwe ili usionekane unajipendekeza?.
Kuna kupongeza genuinely na kupongeza kwa kujipendekeza. Kupongeza genuinely ni kupongeza kwa mazuri ya ukweli na sio kwa nia ya kujipendekeza, kujikomba komba au kutafuta uteuzi.
Namna ya kuwajua wapongezaji genuine ni kuwa wa kweli daima, licha ya kumpongeza kwa mazuri, siku akikosea unamkosoa, akiboronga unamboronga, akichemsha unamchemsha, akijiinua unamchemsha, akijitutumua unamkosoa.
Hivi ndivyo tufanyavyo sisi wakosoaji genuine kazi yetu sio kuukosoa bali kwenye mazuri ya ukweli tunapongeza.
Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri Tupongeze, Rais Magufuli is Changing For The Better!. - JamiiForums
P.
Inapotokea mtu mtu kufanya jambo zuri linalostahili sifa, jee asipongezwe ili usionekane unajipendekeza?.
Kuna kupongeza genuinely na kupongeza kwa kujipendekeza. Kupongeza genuinely ni kupongeza kwa mazuri ya ukweli na sio kwa nia ya kujipendekeza, kujikomba komba au kutafuta uteuzi.
Namna ya kuwajua wapongezaji genuine ni kuwa wa kweli daima, licha ya kumpongeza kwa mazuri, siku akikosea unamkosoa, akiboronga unamboronga, akichemsha unamchemsha, akijiinua unamchemsha, akijitutumua unamkosoa.
Hivi ndivyo tufanyavyo sisi wakosoaji genuine kazi yetu sio kuukosoa bali kwenye mazuri ya ukweli tunapongeza.
Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri Tupongeze, Rais Magufuli is Changing For The Better!. - JamiiForums
P.
Vipi mkuu ???? Watu wa Tanga tena ni vimeo? Imekuwaje?afadhali umelisema. watu wa tanga nao ni vimeo vya kutupa! (mtanisamehe)
Wewe enelea kuota ndoto za Alinacha za mcahna kweupe!!.This is tz ujue kila Jirani anaiogopa maana jpm sio MTU wa mchezo mchezo lazima lijengwe
Sent using Jamii Forums mobile app