Turudi tena kwa Mohamed Dewji

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Jul 17, 2019
322
645
Mwaka jana ilisemekana na ndivyo hadi leo inaminka kuwa MO alitekwa. Nimesema inasadikika kwa kuwa hadi leo watekaji hawakukamatwa na MO alirudishwa.

Jana Mo baada ya mechi ya Simba na Mtibwa kule Zanzibar aliandika twitter kuwa anachia nafasi ya uenyekiti kwenye bodi. Leo mida ya saa nne amesema ilikuwa bahati mbaya na ameamua kurudi kwenye nafasi yake ya uenyekiti. Watoto wa vijijini wanasema kujirudishia Uenyekiti ni kuji PROF LIPUMBA.

Ukiunganisha doti ni kuwa mwaka jana eti alitekwa na akarudishwa, mwaka huu kafungua mwaka kwa kuachia Uenyekiti na kujirudishia. Hebu tabiri mwaka kesho atakuja na nini kipya?
 
Mashabiki wa simba nimeona ni watu wa ovyo sana miaka 3 nyuma walikuwa wanalia ukata wa pesa kwenye timu jana Mo kutangaza kujiuzulu wanamtukana mpaka uzi umefungwa sasa unajiuliza zile kelele uko nyuma timu kulia ukata zilikuwa za nini yaani hawajui wanataka nini. Mo kweli inawezekana anayo mapungufu ila hasitaili kutukanwa kama alivyofanyiwa.

wabongo sisi blabla kibao hatujui chochote zaidi ya kuongea sana mbongo gani yupo tayari kutoa bilion4 per year kuendesha timu ambayo haina mifumo iliyo bora ya kibiashara? black market kwenye jezi na bidhaa nyingine za timu? mpaka analeta msauzi kusimamia mambo ndio ujue kabisa wabongo sisi hatuaminiki.
 
mnaoshabikia hizi timu 2 za kichawi (mbumbumbu fc & vyura fc).... wote ninyi ni mataahira!
 
Mwaka jana ilisemekana na ndivyo hadi leo inaminka kuwa MO alitekwa. Nimesema inasadikika kwa kuwa hadi leo watekaji hawakukamatwa na MO alirudishwa.

Jana Mo baada ya mechi ya Simba na Mtibwa kule Zanzibar aliandika twitter kuwa anachia nafasi ya uenyekiti kwenye bodi. Leo mida ya saa nne amesema ilikuwa bahati mbaya na ameamua kurudi kwenye nafasi yake ya uenyekiti. Watoto wa vijijini wanasema kujirudishia Uenyekiti ni kuji PROF LIPUMBA.

Ukiunganisha doti ni kuwa mwaka jana eti alitekwa na akarudishwa, mwaka huu kafungua mwaka kwa kuachia Uenyekiti na kujirudishia. Hebu tabiri mwaka kesho atakuja na nini kipya?

Nimeanza kumuona Yusuph Manji ndani MO Dewji!
 
Hivi kuna raha gani kushabikia timu yoyote inayoshiriki ushirikina? Timu mbili kongwe zaidi nchini zina historia ya kujihusisha na mambo ya kishirikina zikiamini kwamba kwa ushirikina huo kila siku ya mechi mambo yatawanyookea uwanjani.
 
Alitaka tusijadili kufungwa kwa Simba ,tuanze kujadili kuachia kwake wadhifa ndani ya Simba.
Mpira una matokeo 3.
 
Na wasi wasi na huyu Moooo, huyu jamaa msanii kweli kweli, inawezekana kabisa mwaka 2019 alijiteka alafu akajiachia kwa sababu anazozijua mwenyewe, sema viombo vietu vya usalama viko hoi bin taaban otherwise vingeweza ng’amua hili
 
,Simba na yanga ni pasua kichwa , aanzishe club yake Kama anapenda michezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Alishakua na vilabu kama Singida United, African Lyon akashindwa akazikimbia ndio baadae akaibukia Simba.

"NIliachana na Singida United kwa sababu timu niliidhamini ikapanda Ligi Kuu, baada ya kupanda Ligi Kuu zikaanza siasa tuachie timu yetu mimi nikajiondoa kuhusu African Lyon niliachana nayo kutokana na kwenda uwanjani halafu hakuna mashabiki, raha ya mpira mashabiki" MANENO YA MO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom