Turudi kwenye TTCL yetu tuikuze na tuiboreshe iwe fimbo kwa mitandao ya kigeni

Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
1,157
2,078
Wakubwa wazo nalo liona bora kuukuza mtandao wetu huu pendwa na kuwa ndo mtandao mkubwa na wenye Gharama nafuu sanaa.

Kwakuwa utahudumiwa na Serikali kisha na mwananchi atachangia kwa unafuu wa kile kifurushi anacho kiitajii.

Kwani hii mitandao mingine imekuwa fimbo na kujifanyia vile inavyotaka eti tuu inalipa kodi kwa Serikali.

Mkombozi ni TTCL tuu na imilikiwe na Serikali na Budget yake itengwe na serikali.

Tofauti ya hivyo tutaliaa sanaaa
 
Mbona hata ttcl vifurushi vyao kama hawa wengine au mimi nipo nyuma?
Ni kweli kwakuwa iko katika ushindani lakini ingekuwa ndo mtandao mmoja tuu Tanzania nzima na unamilikiwa na Serikali haya yote tusingesikia
 
Ni kweli kwakuwa iko katika ushindani lakini ingekuwa ndo mtandao mmoja tuu Tanzania nzima na unamilikiwa na Serikali haya yote tusingesikia
Tanesco haina mshindani. Ipo yenyewe tu Tanzania nzima na inamilikiwa na serikali.

Unaonaje huduma zake na gharama za umeme?
 
TTCL ndio nini mkuu?Sisi wa huku ubiruko tunaweza kuletewa?
 
TTCL Nawao wanatuzingua Afisa Masoko kazi imemshinda hajui gharama zinapokuwa chini wateja wanaongezeka na zinapokuwa kubwa wanakimbia halafu TTCL ni mama wemgine ni watoto asipambane nao watu tutakuja tu gharama zikipungua
 
Wakubwa wazo nalo liona bora kuukuza mtandao wetu huu pendwa na kuwa ndo mtandao mkubwa na wenye Gharama nafuu sanaa.

Kwakuwa utahudumiwa na Serikali kisha na mwananchi atachangia kwa unafuu wa kile kifurushi anacho kiitajii.

Kwani hii mitandao mingine imekuwa fimbo na kujifanyia vile inavyotaka eti tuu inalipa kodi kwa Serikali.

Mkombozi ni TTCL tuu na imilikiwe na Serikali na Budget yake itengwe na serikali.

Tofauti ya hivyo tutaliaa sanaaa
Umeandika ukweli mtupu
 
Ttcl sijui wanajionaje, nahisi watakua na wateja wachache kwenye mobile, kulinganisha na mitandao mingine lakini badala ya kupunguza bei za vifurushi ili wapate wateja wapya, eti ndio wanashindana na hao wengine lol😂😂😂😂
 
Ttcl sijui wanajionaje, nahisi watakua na wateja wachache kwenye mobile, kulinganisha na mitandao mingine lakini badala ya kupunguza bei za vifurushi ili wapate wateja wapya, eti ndio wanashindana na hao wengine lol
Wanapanda nao na kushuka nao
 
Back
Top Bottom