Naona kama Act inapotea taratibu, namsikia Zitto zaidi kuliko Act yenyewe. Inaonekana Zitto ni mkubwa kuliko chama, hii ni hatari kwa uhai wa chama, maana haeleweki huyu jamaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.