Turkey, Tanzania sign deals of visa exemption & other trade ties | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Turkey, Tanzania sign deals of visa exemption & other trade ties

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ogm12000, Feb 19, 2010.

 1. ogm12000

  ogm12000 JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  KUMBE ZIARA ZA HUYU BWANA ZINAMANUFAA

  Nimefurahi kusikia kwamba tutakuwa tunaingia bila visa for somedays uturuki (Ubatani kama wavyopaita wanafunzi wa kitanzania wasomao kule). Nikiwa kama Mwanafunzi niliyepata kusoma uturuki nimefurahishwa na habari hii nikaona niwape nanyi wenzangu wenye hamu ya kutembea.
  Ni nchi nzuri kwa wale wenye kupenda kufanya holiday, Kuna sehemu kama vile IZMIR, KUSADAS, MARMARA, DIDIM, CESME, antalya na bodrum zimetulia kuwajili ya kutembea.

  Jamaa sio wabaguzi ila ni washamba wanashangaa sana watu weusi ktk baadhi ya miji..

  Wakiuita zencii-- inasomeka zenjii ujue wanamaanisha black.

  Habari ya bwana gul kamili hii hapa

  Turkish President Abdullah Gul said on Thursday that Turkey attached importance to relations with Africa within the scope of strategic cooperation with Tanzania.

  Speaking at a joint news conference with President of the United Republic of Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Gul said, "I believe that visit of the guest president will add momentum to bilateral relations."

  Gul said this visit, which takes place for the first time in presidency level, has a historical importance.

  Referring to Turkey's decision to open 15 new embassies after Africa Move, Gul said the first embassy was inaugurated in Tanzanian capital Darussalam seven months ago.

  Gul said legal basis in relations were about to be established with the agreements signed between Turkey and Tanzania, "the two countries will get much closer with THY's scheduled direct flights in June," he added.

  Gul said Tanzania was one of the unique African countries having relations with Turkey since the Ottoman period, indicating that relations continued sincerely.

  Gul underlined that economy, trade and investment were the matters Turkey attached a high importance in relations with Tanzania, "there is an important investment potential in this country in areas of textile, agriculture, mining, tourism, construction and infrastructure" he added.

  Gul said regional matters in Africa as well as bilateral relations were assessed during his meeting with Kikwete, and noted that Turkey, which is a member of the UN Security Council, was in close consultation with Tanzania about the issues related to Africa.

  Turkish president said Tanzania was one of the most stable and secure countries of Africa, indicating that democracy operated well in this country.

  Prior to the news conference Turkey and Tanzania signed agreements of visa exemption, commercial cooperation and air transportation.

  Foreign ministries of the two countries signed a memorandum of understanding regarding establishment of a political consultation mechanism.
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 37,750
  Likes Received: 9,257
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi,

  Nilikuwa nataka kuiona Instanbul, na kuangalia/kupiga picha alama za Constantinople pamoja na kutembelea kisiwa alichofungwa Trotsky. Hii move inaonekana kunizidishia mzuka.
   
 3. jamadari

  jamadari JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2010
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 295
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  TANZANIA na Uturukı zımesainı mikataba mınne ya ushırıkıano ukiwemo wa usafırı wa anga ambapo mashırıka ya ndege ya nchı hızo mbılı yatatoa huduma katıka nchı hızo. Sambamba na hılo, Rais wa Uturuki Abdullah Gul ametangaza kuwa kuanzıa mwezı ujao, shırıka la ndege la nchı hıyo lıtaanza kutoa huduma ya usafırı wa anga moja kwa moja katı ya Dar es Salaam na Uturuki. Mıkataba mıngıne ılıyosaınıwa nı ya kuondoa vıza katı ya Tanzanıa na Uturukı kwa wenye hati za kusafıria za dıplomasıa na hatı maalumu, mkataba wa ushırıkıano wa kıbıashara na wa mashaurıano ya kısıasa. Akızungumza na waandıshı wa habarı mara baada ya kusainıwa mıkataba hıyo Ikulu jana, Raıs Kıkwete alısema mıkataba hıyo ıtaongeza ushırıkıano katı ya nchı hızo mbılı. Naye Raıs Gul alısema kutokana na Tanzania kuwa nchı yenye demokrasıa, hıvyo uchumı wake unakua na umeımarika ambapo alisısıtıza ''kutokana na hayo, Waturukı watapenda kufanya bıashara na kuwekeza Tanzanıa''. Alısema lengo la Uturukı ni kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha uhusiano na bıashara kwa Afrika, hivyo itatumia fursa zilizopo kuwekeza katika maeneo mbalimbali ikiwemo madini na viwanda vya nguo. Rais huyo alisema nchi yake ina mpango wa kufungua ubalozi katika nchi 15 za Afrika na kwa ımeanza na Tanzanıa ambapo mıezı saba ılıyopıta, ılıfungua ubalozı wake. Raıs Kıkwete alıwataka raıa wa Uturuki kuwekeza Tanzania katıka maeneo mbalımbalı pamoja na kutembelea vıvutıo vya utalıı. ''Sısı tuna utulıvu wa kısıasa na amanı na tuna fursa nyıngı hıvyo njoonı muwekeze katıka elımu, madını na kılımo,'' alısema Raıs Kıkwete. Alısema kutokana na Uturuki kuwa miongoni mwa nchi zılızoendelea na kuwemo kwenye mataıfa yalıyoendelea kıvıwanda (G20) na kuwa mwanachama kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataıfa, aliiomba kusaidia Afrika isiyokuwa na sauti katika Umoja huo. Awalı Raıs Kıkwete alıpokewa kwa mızınga 21 Ikulu na kufanya mazungumzo na Raıs Gul. Wengine katika ujumbe wake ni mkewe Mama Salma, Wazırı wa Vıwanda, Bıashara na Masoko, Mary Nagu, Naıbu Wazırı wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozı Seıf Ali Idd na Wazırı wa Utalıi, Biashara na Uwekezaji Zanzıbar, Samıa Suluhu Hassan. http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=5794
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 23,161
  Likes Received: 6,871
  Trophy Points: 280
  Na sisi za kwetu zinaenda wapi?Sijapata kusikia katika ziara zoote za Rais wetu kuwa ameweza kuiletea new routes ATC yetu
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 23,161
  Likes Received: 6,871
  Trophy Points: 280
  More importing and dumping....
   
 6. jamadari

  jamadari JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2010
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 295
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  TANZANIA na Uturukı zımesainı mikataba mınne ya ushırıkıano ukiwemo wa usafırı wa anga ambapo mashırıka ya ndege ya nchı hızo mbılı yatatoa huduma katıka nchı hızo. Sambamba na hılo, Rais wa Uturuki Abdullah Gul ametangaza kuwa kuanzıa mwezı ujao, shırıka la ndege la nchı hıyo lıtaanza kutoa huduma ya usafırı wa anga moja kwa moja katı ya Dar es Salaam na Uturuki. Mıkataba mıngıne ılıyosaınıwa nı ya kuondoa vıza katı ya Tanzanıa na Uturukı kwa wenye hati za kusafıria za dıplomasıa na hatı maalumu, mkataba wa ushırıkıano wa kıbıashara na wa mashaurıano ya kısıasa. Akızungumza na waandıshı wa habarı mara baada ya kusainıwa mıkataba hıyo Ikulu jana, Raıs Kıkwete alısema mıkataba hıyo ıtaongeza ushırıkıano katı ya nchı hızo mbılı. Naye Raıs Gul alısema kutokana na Tanzania kuwa nchı yenye demokrasıa, hıvyo uchumı wake unakua na umeımarika ambapo alisısıtıza ''kutokana na hayo, Waturukı watapenda kufanya bıashara na kuwekeza Tanzanıa''. Alısema lengo la Uturukı ni kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha uhusiano na bıashara kwa Afrika, hivyo itatumia fursa zilizopo kuwekeza katika maeneo mbalimbali ikiwemo madini na viwanda vya nguo. Rais huyo alisema nchi yake ina mpango wa kufungua ubalozi katika nchi 15 za Afrika na kwa ımeanza na Tanzanıa ambapo mıezı saba ılıyopıta, ılıfungua ubalozı wake. Raıs Kıkwete alıwataka raıa wa Uturuki kuwekeza Tanzania katıka maeneo mbalımbalı pamoja na kutembelea vıvutıo vya utalıı. ''Sısı tuna utulıvu wa kısıasa na amanı na tuna fursa nyıngı hıvyo njoonı muwekeze katıka elımu, madını na kılımo,'' alısema Raıs Kıkwete. Alısema kutokana na Uturuki kuwa miongoni mwa nchi zılızoendelea na kuwemo kwenye mataıfa yalıyoendelea kıvıwanda (G20) na kuwa mwanachama kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataıfa, aliiomba kusaidia Afrika isiyokuwa na sauti katika Umoja huo. Awalı Raıs Kıkwete alıpokewa kwa mızınga 21 Ikulu na kufanya mazungumzo na Raıs Gul. Wengine katika ujumbe wake ni mkewe Mama Salma, Wazırı wa Vıwanda, Bıashara na Masoko, Mary Nagu, Naıbu Wazırı wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozı Seıf Ali Idd na Wazırı wa Utalıi, Biashara na Uwekezaji Zanzıbar, Samıa Suluhu Hassan.
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,489
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hivi Tanzania tuna shirika gani la ndege linaloweza kwenda Uturuki? Precision Air?Halafu ningependa kuuliza sauti ya Afrika katika Umoja wa mataifa ilikwenda wapi? Ngoja niishie hapa kwa leo
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  TANZANIA na Uturukı zımesainı mikataba mınne ya ushırıkıano ukiwemo wa usafırı wa anga ambapo mashırıka ya ndege ya nchı hızo mbılı yatatoa huduma katıka nchı hızo.

  Sambamba na hılo, Rais wa Uturuki Abdullah Gul ametangaza kuwa kuanzıa mwezı ujao, shırıka la ndege la nchı hıyo lıtaanza kutoa huduma ya usafırı wa anga moja kwa moja katı ya Dar es Salaam na Uturuki.

  Mıkataba mıngıne ılıyosaınıwa nı ya kuondoa vıza katı ya Tanzanıa na Uturukı kwa wenye hati za kusafıria za dıplomasıa na hatı maalumu, mkataba wa ushırıkıano wa kıbıashara na wa mashaurıano ya kısıasa.

  Akızungumza na waandıshı wa habarı mara baada ya kusainıwa mıkataba hıyo Ikulu jana, Raıs Kıkwete alısema mıkataba hıyo ıtaongeza ushırıkıano katı ya nchı hızo mbılı.

  Naye Raıs Gul alısema kutokana na Tanzania kuwa nchı yenye demokrasıa, hıvyo uchumı wake unakua na umeımarika ambapo alisısıtıza ''kutokana na hayo, Waturukı watapenda kufanya bıashara na kuwekeza Tanzanıa''.

  Alısema lengo la Uturukı ni kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha uhusiano na bıashara kwa Afrika, hivyo itatumia fursa zilizopo kuwekeza katika maeneo mbalimbali ikiwemo madini na viwanda vya nguo.

  Rais huyo alisema nchi yake ina mpango wa kufungua ubalozi katika nchi 15 za Afrika na kwa ımeanza na Tanzanıa ambapo mıezı saba ılıyopıta, ılıfungua ubalozı wake.

  Raıs Kıkwete alıwataka raıa wa Uturuki kuwekeza Tanzania katıka maeneo mbalımbalı pamoja na kutembelea vıvutıo vya utalıı.

  ''Sısı tuna utulıvu wa kısıasa na amanı na tuna fursa nyıngı hıvyo njoonı muwekeze katıka elımu, madını na kılımo,'' alısema Raıs Kıkwete.

  Alısema kutokana na Uturuki kuwa miongoni mwa nchi zılızoendelea na kuwemo kwenye mataıfa yalıyoendelea kıvıwanda (G20) na kuwa mwanachama kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataıfa, aliiomba kusaidia Afrika isiyokuwa na sauti katika Umoja huo.

  Awalı Raıs Kıkwete alıpokewa kwa mızınga 21 Ikulu na kufanya mazungumzo na Raıs Gul. Wengine katika ujumbe wake ni mkewe Mama Salma, Wazırı wa Vıwanda, Bıashara na Masoko, Mary Nagu, Naıbu Wazırı wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozı Seıf Ali Idd na Wazırı wa Utalıi, Biashara na Uwekezaji Zanzıbar, Samıa Suluhu Hassan.
   
 9. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Same here. But I wonder if this MoU will still stand as Turkey slowly draws closer to joining the EU.

  I like your new signature btw
   
 10. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni" ni msemo wa wahenga wetu na ningependa kuutumia kujenga hoja yangu hapa. Rais Kikwete anafanyakazi nzuri sana tena sana katika medani za kitaifa na kimataifa na kwa kweli anatujengea misingi madhubuti kwa mashirikiano yetu na wenzetu na kwa maendeleo kiujumla. Historia itakuja hukumu! Tatizo nilionalo mie ni wasaidizi wake kushindwa kwenda na pace yake na ndo maana hatuoni matunda ya safari na juhudi zake kwa ujumla wake kwa sisi wananchi wa kawaida.
   
 11. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,667
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Kwa mnaoijua Uturuki, ni fursa gani za kibiashara zinapatikana huko?
   
 12. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,314
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,517
  Likes Received: 7,271
  Trophy Points: 280
  jamaa watavamia shamba la bibi (Bongo), kuja kuvuna kabla havijaisha, maana sasa wazungu waarabu na wachina wanashindania vikubwa, lakini kuna wapakistani na wakenya wako kila kona
   
 14. k_u_l_i

  k_u_l_i Senior Member

  #14
  Feb 19, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Not so fast
  ¬K
   
 15. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkataba wa visa exemption kwa pande zote mbili jamani manake hawa watu bana?
   
 16. bona

  bona JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,794
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  thats all what left with this guys, mumbojumbo agendas on media about his meeting with president of developed countries, meeting and agreeing developments strategy is not development, before those meeting he should concentrate on enabling tz to trade with those countries, namuona uyu rais anataka kuujulisha ulimwengu kua hatuwezi kujiendeleza ktk kila idara bila wao kwani juhudi zake zimekua kubwa kuwaita waje kuindeleza nchi kuliko kuweka mikakati nchi ikaenda kwenye kujitegemea na kujiendeleza yenyewe, kuwaita wawekezaji kunatakiwa kuendane sambamba na kuiwezesha nchi baada ya mda tusiwaite tena wawekezaji tujiendeshe wenyewe.
  kwa iyo rais ajae atakua na kazi gani kama kazi ya rais ni kuwaita wawekezaji maana kikwete atakua kashawaita wote! camon can any african country think of developing manufacturing industry? that is the only way we can develop!
   
 17. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Hawa Waturkey watatusaidia nini jamani?wao wako desperate kuingia EU,je kitu gani tutatrade na Turkey?Niambieni jamani!
  Sana sana Waturuki watakuwa happy kusikia mtu waliomfundisha udaktari kwao Dr Husssein Mwinyi ni kiongozi wa taifa!
   
 18. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ?

  Elaborate
   
 19. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180

  Aaah za kwetu zitakwenda pale nduli eapot
   
 20. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 640
  Trophy Points: 280
  Turkey ni nchi iliyoendelea tangu lini?

  Na huu mkataba wa Turkish airlines ni ushahidi mwingine wa namna tulivyobadilika kutoka taifa linajididisha kujitegemea (Nyerere na ndege zake za ATC) na kuwa taifa tegemezi (waliofuata wote).
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...