Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,540
- 34,865
Hilo shambulia lililoua hao askari wa Uturuki lilifanywa na Syria au Urusi?Inasemekana wanaweza kuwa zaidi ya 40 dead.
Mchana wa Leo urusi walisema Askari wa turkey wanazifyatulia makombora ndege za urusi,Basi mchana wakaua Askari watatu wa turkey,,shambulizi la Sasa limetokea mda mfupi uliopita,waturuki wanategemea kujibu
Inaonekana Uturuki imejaza askari wengi sana mpaka maeneo ambayo ni military targets nje ya hizo observation posts zao ndio maana wanajikuta wanashambuliwa kila mara.
Japo nimesikia hawa waasi kuna baadhi ya vijiji na barabara muhimu walizopoteza awali kwa majeshi ya Assad ila wamefanikiwa kuzirejesha.