figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Sijajua kwanini huku kwetu tuliani tunaonewa. Umeme unawaka masaa mawili tu kwa wiki na hayo masaa mawili unakatika kama mara tano.
Muhongo tunaomba Ufanyie kazi huyu Meneja. Bora hata angekua anatoa taarifa kwanini umeme hauwaki.
Tunaomba Viongozi wahusika watusaidie hili. Huu uonevu mpaka lini?
Kwanini viongozi wanakomoa raia wao, kosa letu nini?