Tupo viwanja ya Mazaina, Chato karibuni tuwahudumie

TTCL Customer Care

JF-Expert Member
Aug 18, 2016
240
500
May be an image of 1 person, standing and text that says 'Karibu tukuhudumie Mteja wetu & TTCι Corporation HUAWEI Tupo Viwanja vya Mazaina Chato katika kuadhimisha Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru tumekuletea vifaa vya Mawasiliano kwa bei nafuu ttcl corporation Rudi Nyumbani Kumenoga'

Jipatie simu ya mezani kwa matumizi ya nyumbani na ofisini kwa bei nafuu.
Karibu sana

May be an image of 6 people and people standingMay be an image of 4 people, people sitting and people standingMay be an image of 4 people and people standing

Katibu Tawala Wilaya ya Kwimba Bw. Nyakia Ally (anayesaini) kitabu cha wageni ameipongeza TTCL kwa huduma nzuri na kutoa rai kwa Shirika hilo kuongeza nguvu vijijini. Kilele cha Mbio za Mwenge Kitaifa kinafanyika Chato mkoani Geita.
May be an image of 5 people, people sitting and people standing
May be an image of 5 people and people standingMay be an image of 3 people, people sitting and people standing
May be an image of 6 people and people standing

May be an image of 4 people, people sitting and people standing

May be an image of 4 people and people standing
 
gigabyte

JF-Expert Member
May 27, 2015
2,608
2,000
Mnachojua ni kuuzia tu watu vitu ila kuboresha huduma zenu hakuna.bure kabisa.
 
green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
3,847
2,000
May be an image of 1 person, standing and text that says 'Karibu tukuhudumie Mteja wetu & TTCι Corporation HUAWEI Tupo Viwanja vya Mazaina Chato katika kuadhimisha Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru tumekuletea vifaa vya Mawasiliano kwa bei nafuu ttcl corporation Rudi Nyumbani Kumenoga''Karibu tukuhudumie Mteja wetu & TTCι Corporation HUAWEI Tupo Viwanja vya Mazaina Chato katika kuadhimisha Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru tumekuletea vifaa vya Mawasiliano kwa bei nafuu ttcl corporation Rudi Nyumbani Kumenoga'

Jipatie simu ya mezani kwa matumizi ya nyumbani na ofisini kwa bei nafuu.
Karibu sana

May be an image of 6 people and people standingMay be an image of 4 people, people sitting and people standingMay be an image of 4 people and people standing

Katibu Tawala Wilaya ya Kwimba Bw. Nyakia Ally (anayesaini) kitabu cha wageni ameipongeza TTCL kwa huduma nzuri na kutoa rai kwa Shirika hilo kuongeza nguvu vijijini. Kilele cha Mbio za Mwenge Kitaifa kinafanyika Chato mkoani Geita.
May be an image of 5 people, people sitting and people standing
May be an image of 5 people and people standingMay be an image of 3 people, people sitting and people standing
May be an image of 6 people and people standing

May be an image of 4 people, people sitting and people standing

May be an image of 4 people and people standing
Ok mpo porini huko na wanakijiji
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
6,163
2,000
Kuna za 100k na za 150k

Ukinunua za 150k ndio bora zaidi.
Zina sifa hii
WiFi
SMS
Kupiga simu
Intenet
Yaani Simu ina sifa ya kupiga Simu ?
Fantastic!!!!!!

Naomba kuelimishwa.., Kuna simu haina hii sifa ?

By the way kwahio hizi zina namba za landlines ? Yaani sio Mobile Phone yaani ninajua kabisa fulani yupo sehemu fulani au na zenyewe kila kitu ni kama mobile tofauti ni ukubwa tu ?
 
valet de chambre

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
603
500
May be an image of 1 person, standing and text that says 'Karibu tukuhudumie Mteja wetu & TTCι Corporation HUAWEI Tupo Viwanja vya Mazaina Chato katika kuadhimisha Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru tumekuletea vifaa vya Mawasiliano kwa bei nafuu ttcl corporation Rudi Nyumbani Kumenoga''Karibu tukuhudumie Mteja wetu & TTCι Corporation HUAWEI Tupo Viwanja vya Mazaina Chato katika kuadhimisha Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru tumekuletea vifaa vya Mawasiliano kwa bei nafuu ttcl corporation Rudi Nyumbani Kumenoga'

Jipatie simu ya mezani kwa matumizi ya nyumbani na ofisini kwa bei nafuu.
Karibu sana

May be an image of 6 people and people standingMay be an image of 4 people, people sitting and people standingMay be an image of 4 people and people standing

Katibu Tawala Wilaya ya Kwimba Bw. Nyakia Ally (anayesaini) kitabu cha wageni ameipongeza TTCL kwa huduma nzuri na kutoa rai kwa Shirika hilo kuongeza nguvu vijijini. Kilele cha Mbio za Mwenge Kitaifa kinafanyika Chato mkoani Geita.
May be an image of 5 people, people sitting and people standing
May be an image of 5 people and people standingMay be an image of 3 people, people sitting and people standing
May be an image of 6 people and people standing

May be an image of 4 people, people sitting and people standing

May be an image of 4 people and people standing
TTCL VIPI BARAKOA?HATA KAMA MMECHANJA BARAKOA NI MUHIMU KWETU NA KWA WATEJA!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom