TUPO SALAMA? Mwili wakutwa ufukweni Kawe jijini Dar ndani ya kiroba

Yes dear. Nimekupata. Nilisema sidhani kama huyu atakuwa kauwawa kwa kumuandika vibaya mtu kwenye mtandao. Inawezekana wamedhulumiana au haya mambo ya wivu wa kimapenzi...
HAHAHA NIMEMAANISHA KITU FULANI HIVI KUHUSU KUANDIKA MTANDAON ILA TUACHE ILIVYO NA MM NISIJEKUJIKUTA KWENYE SANDARUSI
 
Kama kuna maudhi ni wakati kila mwili unaookotwa mnakimbilia serekali. Jipimeni kwanza. Ikiwa serekali ingeliua kila mpinzani nnani angelibakia?? Yaani hamjui kuwa inawezekana ni wivu tu wa kimapenza umeleteleza hayo??
Mwanamke kamhisia mwenzake kuwa anatembea na mume wake, akimuua hata kwa sumu ya panya njia rahisi si ni kuutupa huo mwili mtoni au huko baharini??
Acheni ujinga kuitukana serekali hata kwa mambo yenu wenyewe. Hata mtoto akitumbukia kisimani sasa ni serekali??
 
Tuishi vizuri na watu, jamii zetu. Haya "huenda" ni matokeo ya mifarakano baina ya watu, utu wetu unakwisha.
 
No meen! it shouldnt be Tanzania.... Uchunguzi wa kina ufanyike kubaini chanzo na wahusika wachukuliwe hatua...

Hisia kwamba wanaopinga serikali wanatekwa hazivumiliki and our gvt should come out clean on this...
Hivi kipindi kile uchunguzi haukufanyika ? au ndio unamaanisha ripoti haijatolewa ? sijakuelewa.Hivi kwani ni mara ya kwanza kusikia taarifa kama hizi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No meen! it shouldnt be Tanzania.... Uchunguzi wa kina ufanyike kubaini chanzo na wahusika wachukuliwe hatua...

Hisia kwamba wanaopinga serikali wanatekwa hazivumiliki and our gvt should come out clean on this...
Vyovyote iwavyo ni jukumu la Serikali kulinda mali na uhai wa wananchi. Na ndiyo justification ya uwepo wake la sivyo hakuna haja ya kuwepo kwake.
 
Mpaka 2020 imalizike vitapatikana viroba vyingi sana.Utawala dhalimu.

We mpumbavu. Unaua. Afu Utawala dhalimu. Una mahaba sana na Viongozi Hawa wachapa kazi. Umezoea kula unga nini. Mana kwa hatua ya kwanza at least. Kodi inakusanywa. Rushwa inabanwa. Mission town ndo bado unafanya wewe. Lakini itakuja hata eti Serikali. Who is Serikali. Mbona humpi mkeo basi huyo serikali akusaidie kumridhisja.jinga kabisa. Maadili yetu yameathirika katika familia. Wauaji tunawaficha humu katika famili zetu. Unajua kisingizo Serikali. Ujinga huo
 
Sasa kwa ulichoandika na mimi nlichoandika nani anaoneka mkuu wa wapumbavu?Povu jingi, bila shaka utakuwa chakula ya wahusika.Tumia akili,ilo libichwa lako likubwa hujapewea kubebea masikio na makamasi.Nadhani Upumbavu ni sifa ya ukoo wenu wote.
 
Kama kuna maudhi ni wakati kila mwili unaookotwa mnakimbilia serekali. Jipimeni kwanza. Ikiwa serekali ingeliua kila mpinzani nnani angelibakia?? Yaani hamjui kuwa inawezekana ni wivu tu wa kimapenza umeleteleza hayo??
Mwanamke kamhisia mwenzake kuwa anatembea na mume wake, akimuua hata kwa sumu ya panya njia rahisi si ni kuutupa huo mwili mtoni au huko baharini??
Acheni ujinga kuitukana serekali hata kwa mambo yenu wenyewe. Hata mtoto akitumbukia kisimani sasa ni serekali??
Ndio ni sirikali kwani hujui? Dhamana ya uhai na usalama was RAIA in juu ya wenye mamlaka juu ya raia
 
Back
Top Bottom