Tupigie wakubwa kelele kuhusu Kilimo mpaka wasikie

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Hello JF,

Kuna threads nyingi sana humu za kilimo, jinsi kilivyo na potential ya kubadilisha Tanzania ila wakubwa hata hawajisumbui....sasa naomba tujadili njia za kuwashtua...😥😊😊😭

Seriously nimeona Tanzania ina depend on Agriculture by 76%, hii inamaanisha massively uchumi wetu ni Kilimo, it's time kipewe umuhimu unaostahili..

Nimenote pia 67% ya watanzania wanaishi in rural areas...

This means kama tunataka mapinduzi ya kilimo, then tu concentrate efforts vijijini....cha kushangaza vijana vijijini ndoto zao ni kuacha eneo lenye potential na kuja mjini sehemu ambayo hawana uhakika wa kupata kazi....

Serikali inaweza kuvuta makampuni huko vijijini, kwa kupunguza tax kwa kila kampuni inayofungua kazi zake vijijini, kampuni ya kilimo iwekewe kipaumbele zaidi...

Just thoughts#
 
vijana kila siku wanapewa lawama, kweli kuna mtu anaweza kuacha ulaji akakimbilia sehemu yenye njaa.
 
Duniani wako mbali sana kwa ukulima wa umwagiliaji
Kila nchi inajitahidi sana na wanahakikisha mbogamboga zote zinatoka kwa wakulima wa ndani na hata mazao ya chakula

Uwezo kwa vijana kufanya maajabu yapo na wengi wahitimu wa kilimo wanauwezo wa kuanzisha kilimo cha umwagiliaji kama sprinkler system au drip system ingawa drip ni ghali zaidi

Kwa hakika hata kwa kuchangishana na kuweka nguvu wangekuwa mbali sana badala ya kumpa muwekezaji kwanini mnashindwa wenyewe kufanya?

Kuna nchi mpaka jangwa wamebadilisha kuwa kijani
Sasa sisi tunakwama wapi?

Hakuna wakubwa wala nini huyo mkubwa ana nyumba msasani unadhani ni lini atakuwa na wazo la umasikini wa mtz?
Kilimo kwake ni kama umasikini kwa akili zao lakini

Ila likija suala la kuwa wanapakia hao
IMG_3376.jpg

IMG_3375.jpg

IMG_3374.jpg
 
Mbolea ni Tsh laki moja kwa mfuko wa kilo 50, mkoani.

Kwa kuwa kilimo ndiyo uti wa mgongo wa Taifa, nilidhani serikali ingeweka ruzuku (hata kwa kuuza ndege zake) katika mbolea ili iwasaidie wakulima wake, kwa sababu kuna maeneo hapa nchini hauwezi kuvuna mazao mengi bila kuweka mbolea.

Wakulima wakishindwa kuweka mbolea, maana yake mwaka kesho mazao hasa mahindi yatakuwa machache, hivyo kusababisha njaa!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mfano halisi ni huu,iringa(pawaga na idodi) sehem unapolimwa mpunga,gharama ya kukodi shamba ni kuanzia laki na nusu,kulima elfu70,kuvuruga na kupanda mpunga ni laki na nusu,kuvuna elfu50,na wastani wa mavuno ni gunia15,ambapo kwasasa gunia ni elfu65,ukiongeza na gharama ya mbolea hapo mtaji unaotumia itakuwa mkubwa kuliko mavuno,yani kiufupi kwa hizo bei za mbolea ni kana kwamba wanawambia wakulima watafute shughuli nyingine ya kufanya

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Dogo wa forex (mji mkubwa maaruf canada) alianzaga na kilimo hata video zake youtube kuhusu kilimo cha mahindi na ufugaji kuku zipo. Ila akaona hailipi akaingia kwenye upigaji forex na kweli kwa mda mfupi alikamata hela ndefu sana.
EVTYQ3KXgAEJKvO.jpeg
Screenshot_20211130-230927.png
Screenshot_20211130-231141.png
 
Back
Top Bottom