Tupige picha uchaguzi 2020

Ngomile

Member
Mar 18, 2018
18
14
Wanajamvi wazalendo karibuni katika mada hii tuchangie.
Hebu tujaribu kupiga picha uchaguzi ujao lkn bila kusahau huko nyumba tunakotoka tangu nchi yetu pendwa Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi.

Kuanzia 1995 ambapo uchaguzi wa vyama vingi umeanza kumekuwa na kupiga hatua kadha wa kadha kwa demokrasia Tanzania. Vyama vya upinzani vimekuwa vikiongeza uwakilishi kuka uchaguzi na kuonekana kuwatoa jasho chama tawala CCM.

Lakini ghafla miaka ya karibuni baada ya uchaguzi 2015, demokrasia imelalamikiwa kurudi nyuma na wadau mbalimbali kwa serikali kuzuia mikutano ya vyama vya siasa na mikusanyiko.

Sasa kwa ufupi sana tujadili aina ya uchaguzi wa 2020.
Ahsanteni
 
Kiongozi wa malaika akisaidiwa na p.k wataendelea kubaka demokrasia
 
Tunatumia kamera gani kupiga picha tfadhar?
Ndo niko nasonga ugali ili nivute, maana nikivuta bila kula huwa nahis kubleed asee.
 
Mgombea anajirekodi akinadi sera zake...

Anapeleka kwenye vituo vya kurushia matangazo husika...

Editing zinafanyika na kurushwa hewani...

Mikusanyiko hakuna...


Cc: mahondaw
 
JPM atashinda mapema ila Kuna wabunge wengi naona wakipisha maprofesa na madokta akiongoza kibajaji
 
Back
Top Bottom