""tupige marufuku kuingia na mifuko ya plastick airport""

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
nahisi tunaitaji sasa na sie tuwe wasafi kwa hili
serikali ya rwanda imepiga marufuku mtu yoyote atakaeingia na mfuko wa plastick kuchanwa chanwa ama kuchukuliwa mzigo wake na hili ni ktkt kuweka safi mandhari ya jiji
kwa upendo mkubwa nkaona wapendwa watanzania viongozi wetu mnaonaje na sie tukafanya hili kwa yoyote atakaeingia nchini iwe wewe ama mjombawako ama shangazi yako....usiniulizze uhai ya 50
Lukuvi kashakimbia jiji...
 
Ni wazo zuri sana,viongozi wetu wanapaswa kuwa makini na afya za wananchi!
 
Back
Top Bottom