johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,099
- 164,474
Yawezekana tukawa tunahitaji vyama vingi vya siasa na siyo KAMPUNI za siasa kama ilivyo sasa Tuamue tunataka aina gani ya vyama/chama kwa manufaa ya nchi siyo watu binafsi na familia zao.Karibu kwa maoni.