Tupige hesabu ni Tsh ngapi tumeibiwa watz na hizi kampuni feki

SUNGURA-MJANJA

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
200
33
Ndg zangu watanzania kwa wale wenye takwimu kamili za kiasi cha fedha kilichoibiwa na makampuni haya ya kifisadi, tuyaweke humu JF ili watz wengi tujue mali tuliyoibiwa.
1.Richmond
2.Kagoda
3.Meremeta
4.Iptl
5.Escrow
...Endeleza unayoyajua.....Nyoka akiingia ndani si kuhama nyumba ni kuua yule nyoka na kuendelea kuishi kwa amani..
 
Back
Top Bottom