Tupieni picha ya Kingai na Maita tuwajue

Usijidanganye ndugu, hata wewe ukiwa Rais utatumia njia yoyote ili kuwanyamazisha wapinzani wako.
Chadema ni chama ambacho kinatamani au kinataka kuingia madarakani kuongoza nchi. Sasa ccm kwa kutambua hilo lazima ajitetee kwa namna yoyote ile.
Hakuna huo upuuzi nchi zilizoendelea, only madikteta njaa kama wa CCM ndio wanafanya hayo, kazi yao kubwa kutembeza bakuri kuomba maharage huku ardhi imejaa na kupiga wapinzani ili watawale, aibu tupu
 
Kuliko kuuwa na kuonea watu Bora kuachia madaraka kwa amani.
Usijidanganye ndugu, hata wewe ukiwa Rais utatumia njia yoyote ili kuwanyamazisha wapinzani wako.
Chadema ni chama ambacho kinatamani au kinataka kuingia madarakani kuongoza nchi. Sasa ccm kwa kutambua hilo lazima ajitetee kwa namna yoyote ile.
 
Katika suala la ugaidi lazima wahusika wapitie Moto, mshikaki kwa sana, bisibisi, prize nk, lakini pia inategemea na jinsi investigation procedures zilivyofanyika maana suspect hawezi kubali jumba bovu the same na PT lakini ukifiatilia kiundani utaona Kuna chenga chenga kina Kingai wamefanya toka awali, huwezi mkamata mtu pasipo arresting warrant, kupata key suspect ambaye ataeleza namna walivyokamata watuhumiwa huyu angesaidia kunyoonya makando kando yaliyoonekana, detention reg book nazo hazisomi ndo maana suspect wanaeleza kuwa wametekwa na PT na logic ipo kabisa, wakishinda hi kesi nahamisha bahari kwa kisoda,
INVESTIGATION IS AN ART NOT FORCE FOR THE WHITE COLLAR CRIME ila kwa mwizi wa kuku asiyejua PCA kifungo kitambo
 
Hakuna huo upuuzi nchi zilizoendelea, only madikteta njaa kama wa CCM ndio wanafanya hayo, kazi yao kubwa kutembeza bakuri kuomba maharage huku ardhi imejaa na kupiga wapinzani ili watawale, aibu tupu
Ulishawahi kutembelea nchi ngapi duniani? Tuanzie hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom