mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,111
- 21,657
Kingai one
Huyu yatamkuta yale ya Zombe muda si mrefu,lazima alambe udongo.Kingai oneView attachment 1956557
Wakati wake utafika tu hakuna kisichokuwa na mwisho.anachowafanyia wenzake leo,ipo siku na yeye atafanyiwa icho ichoKingai oneView attachment 1956557
Hahahaha
Kama ilivyokuwa kwa Jiwe.Wakati wake utafika tu hakuna kisichokuwa na mwisho.anachowafanyia wenzake leo,ipo siku na yeye atafanyiwa icho icho
Sent using Jamii Forums mobile app
angalia post #11
angalia juu ya post yako kishawekwaWekeni na picha ya Mahita, hawa MABARADHULI lazima walipie ukatili wao.
Mahita na Kingai Tayari , bado GoodluckyNi swala la muda tu
Kama ambavyo Mbowe yanamkuta aliyo wafanyia akina Chacha WangweWakati wake utafika tu hakuna kisichokuwa na mwisho.anachowafanyia wenzake leo,ipo siku na yeye atafanyiwa icho icho
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ukimuona anaonekana kama vile binadamu,kumbe ni chui aliyejivisha ngozi ya kondooMtu asiyejulikana ambaye anatumika kutesa wengine , mtoto wa IGP wa zamani Mahita , huyu hapa , machoni ni kama mtu vile
View attachment 1956567