Tupia uzi wowote ambao unaamini tulidanganywa hapa Jamiiforums

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Kuna nyuzi nyingi sana za uwongo uwongo, lakini zina burudisha sana.

Kuna tajiri Bill Lugano, huyu jamaa ni fix kichizi. Lakini kwenye uwongo wake utaburudika kichizi.

Pia yupo Bujibuji, huyu mzee ana stori fulani hivi za kuchekesha sana, kuna uzi wake mmoja aliigonga BMW la mshuwa, akapelekwa ushuani, akafungishwa ndoa na msukule wenye t shirt la bendera ya Taifa, akapewa mamilioni kibao.

Hebu tuongeze list
 
Alieanzisha uzi badala ya kutupia hizo uzi yeye katuwekea majina ya watu!,wakati kichwa cha uzi kinahitaji uzi!!. So huu uzi ni uongo tosha..😁
 
Alieanzisha uzi badala ya kutupia hizo uzi yeye katuwekea majina ya watu!,wakati kichwa cha uzi kinahitaji uzi!!. So huu uzi ni uongo tosha..😁
 
 
Daaah! Kuna wale, miamba kila Uzi, wa mtu analalamikia wadada, wanazingua, au mtu anashauri kuhusu MAPENZI, utaona comments zao, tafuta Hera m b w a, wewe saizi tulisha acha, ayo mambo ya kuitafuta mbususu, kwa maneno, dah! Huwa nacheka sana,
 
Back
Top Bottom