Tupia tuneno tuwili twa busara kwenye hii picha ya waombolezaji

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
wamechokaje sasa? walijua yatarudi sijui ? so sad
Pix-4.JPG
 
Chezea mnyama wewe
atakutafuna mpaka kucha
Simba ndio mfalme wa wanyama wakiwemo wa Jangwani pia
 
Poleni wapenzi wa yanga haya ndiyo mavuno ya mlichopanda. Ogopeni mnyama simba hata wanyama wa polini wanamheshimu.
 
Hahahahaha lol! tuneno tuwili tu :):) "Huzuni jangwani" wana huzuni ile mbaya lazima bakora zilitembea jana...hizi njemba zinajua kupenda timu yao bana na bora wafungwe na timu yoyote lakini si mnyama, halafu ukitilia maanani wamechapwa 5 kwa nunge ndio donge limewazidi kupita kiasi.
 
........tatizo rangi za jezi; zimefubaa sana umaarufu siku hizi, na zimeathiri kila sekta
 
Poleni watani wangu............KIDUMU.........KIDUMUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

Ngoja, ngoja kwanza. Hivi wana uhusiano na chama cha magamba au ni rangi tu zimeingiliana kwa bahati mbaya?. Niambie ili nifanye maamuzi mazito leo leo!,
 
Back
Top Bottom