Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,468
- 70,198
everton!!!?..we unataka kuolewa tu
Top 4 itabaki kama ilivyokuwa msimu uliopita, isipokuwa namba zitabadilika.
1. Man City
2. Liverpool
3. Man Utd
4. Tottenham
Man City atapata tabu lakini si kwa kiwango cha kupoteza ubingwa.
Man city ,Liverpool na chelsea wakikubali kupigwa tu na arsenal round yoyote basi wajue wamempa arsenal ubingwa.Tunahitaji pointi 9 za vigogo kuwa mabingwa.Tunaruhusiwa kunadili?
Man Utd ampishe Arsenal.
Yaan we tulia mkuu wanatuchukulia poa Sana hawa jamaaMan city ,Liverpool na chelsea wakikubali kupigwa tu na arsenal round yoyote basi wajue wamempa arsenal ubingwa.Tunahitaji pointi 9 za vigogo kuwa mabingwa.
Point sio maandaz mkuuMan city ,Liverpool na chelsea wakikubali kupigwa tu na arsenal round yoyote basi wajue wamempa arsenal ubingwa.Tunahitaji pointi 9 za vigogo kuwa mabingwa.
Kwangu ni zaidi ya maandazi.Point sio maandaz mkuu
Endelea kuota ndoto yakoMan utd
Liverpool
Man City
Spurs
Msimu haujaisha.Endelea kuota ndoto yako
Hivi kwanini usifute tu hii kitu?1.arsenal
2.liverpool
3.man city
4.man.u
arsno wako tofaut sana na miaka yote waliyokuwa wanasndkza lig na kushangilia kuongia top 4 ...live sio mara yao ya kwanza kusajili karbu nusu timu afu kuambulia patupu city itakuepo lakin mwaka huu club zote zmejifua tofaut kukabiliana nae usishangae ata akicheza na fulhm akaambulia patupu ,man u itacheza mrad kuingia top 4 na ikikaa vbaya spurz au chelsea anaweza kumtoa apo akarud position yake ya as usualy top 6 ....n hayoo tu *welcome 2018/19 *
Hivi kwanini usifute tu hii kitu?
Wewe kila mtu kwako ni shabiki wa Man Utd?kwani na nyie wa man.u mna comment kwenyu huu uzi?
Wewe kila mtu kwako ni shabiki wa Man Utd?kwani na nyie wa man.u mna comment kwenyu huu uzi?
baki na akil zakoWewe kila mtu kwako ni shabiki wa Man Utd?
Anyways,kwani huu uzi unahisi nini mpaka ushangae shabiki wa Man Utd kucomment?
Hatimae Mourinho ametimuliwa kama nilivyotabiri hapo juu kabla ya kuanza kwa msimuBaada ya kuwa likizo kwa miezi mitatu, hatimae ligi pendwa ya EPL inarejea kesho kwa mechi ya ufunguzi kati ya Man Utd Vs Leicester City kule Old Trafford.
Ni msimu ambao mashabiki wengi wa Man Utd wanaonekana kama hawana furaha sana na timu yao, wakichagizwa na kutokufanya kwao usajili mkubwa katika majira haya ya kiangazi.
Baadhi ya timu nyingine zimejiimarisha vizuri, Arsenal wana kocha mpya na wachezaji wapya baadhi, Man City bado wana kikosi kipana na wamemuongeza Mahrez. Liverpool nayo imejiimarisha katika idara mbalimbali ikiwemo golini kwa kumleta Alison Becker toka As Roma. Chelsea wana mwalimu mpya Maurizio Sarri.
Ifuatayo ni Top 4 yangu kuelekea msimu mpya wa 2018/2019.
1.Man City
2.Liverpool
3.Arsenal
4.Man Utd
Na Mourinho atakuwa kocha wa kwanza kutimuliwa katika vilabu vikubwa pale EPL.
Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!
umetisha mkuu.Hatimae Mourinho ametimuliwa kama nilivyotabiri hapo juu kabla ya kuanza kwa msimu