Tupia Top 4 yako kwa msimu wa EPL wa 2018/19

1.arsenal
2.liverpool
3.man city
4.man.u
arsno wako tofaut sana na miaka yote waliyokuwa wanasndkza lig na kushangilia kuongia top 4 ...live sio mara yao ya kwanza kusajili karbu nusu timu afu kuambulia patupu city itakuepo lakin mwaka huu club zote zmejifua tofaut kukabiliana nae usishangae ata akicheza na fulhm akaambulia patupu ,man u itacheza mrad kuingia top 4 na ikikaa vbaya spurz au chelsea anaweza kumtoa apo akarud position yake ya as usualy top 6 ....n hayoo tu *welcome 2018/19 *
Hivi kwanini usifute tu hii kitu?
 
Baada ya kuwa likizo kwa miezi mitatu, hatimae ligi pendwa ya EPL inarejea kesho kwa mechi ya ufunguzi kati ya Man Utd Vs Leicester City kule Old Trafford.

Ni msimu ambao mashabiki wengi wa Man Utd wanaonekana kama hawana furaha sana na timu yao, wakichagizwa na kutokufanya kwao usajili mkubwa katika majira haya ya kiangazi.

Baadhi ya timu nyingine zimejiimarisha vizuri, Arsenal wana kocha mpya na wachezaji wapya baadhi, Man City bado wana kikosi kipana na wamemuongeza Mahrez. Liverpool nayo imejiimarisha katika idara mbalimbali ikiwemo golini kwa kumleta Alison Becker toka As Roma. Chelsea wana mwalimu mpya Maurizio Sarri.

Ifuatayo ni Top 4 yangu kuelekea msimu mpya wa 2018/2019.

1.Man City
2.Liverpool
3.Arsenal
4.Man Utd

Na Mourinho atakuwa kocha wa kwanza kutimuliwa katika vilabu vikubwa pale EPL.

Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!
Hatimae Mourinho ametimuliwa kama nilivyotabiri hapo juu kabla ya kuanza kwa msimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom