WAZIWAZI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 1,815
- 1,575
Watanzania tumesikia serikali imeingia hasara ya kumlipa Airtel mabillion ili aondoke TTCL, baada ya deal hilo kukamilika tunamuona mpendwa wetu Mbarawa akiamka akilala akila anaota Halotel.
Ni wakati sasa watanzania kumkumbusha kwamba huu mkenge anaingia either bila kujua utamghalimu mda si mlefu, na akumbuke kwamba watanzania tunaumia sana kuona TTCL inajikongoja huku makaburu na waarabu wakitesa kwa zamu ndani ya shamba la bibi, sasa Vietnum wamekuja kupigilia msumari wa mwisho na Halotel yao a.k.a Viatel.
Ewe mzalendo tupia neno la kizalendo umsaidie kaka yetu Mpendwa Prof Mbarawa juu ya Umuhimu wa TTCL kwa Watz, na kupinga kabisa press zake za hivi karibuni kumtengenezea deal Halotel Serikalini.