Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,377
- 58,384
weka maneno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatufanya sisi mazuzu hatuoni?Hajashika suruali, anajikuna!:glasses-nerdy:
Hajashika suruali, anajikuna!:glasses-nerdy:
unatufanya sisi mazuzu hatuoni?
Au alidhani ni DERA?
LOl! .............., loading..........
Suruali hiyo inaelekea ni ndefu na alikuwa anaichomoa kutoka kwenye kiatu aliikanyaga, angalia mguu wa kushoto ilivyojikunja hapo nchini ni dalili tosha kwamba ilimzidi kimo!
Suruali hiyo inaelekea ni ndefu na alikuwa anaichomoa kutoka kwenye kiatu aliikanyaga, angalia mguu wa kushoto ilivyojikunja hapo nchini ni dalili tosha kwamba ilimzidi kimo!
Kwani ananunua ambazo si size yake?
Spika Anne Makinda amevaa 'pete ya ndoa' ???
Au macho yangu yana makengeza ??
Big-up Anne (kama hatimaye 'umejikomboa' !!!! a.k.a. umepata 'muwekezaji' !!!!)
Anapewa zawadi hawezi nunua ambayo sio size yake.
Sasa Lily Flower kwani zawadi huombi kwa saizi yako ?
Kwani ananunua ambazo si size yake?
weka maneno