Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Bulendabufwe, chamakapo, kenkombyo, nyaburundu-Bunda, Mara mimi ni Joooooooooooooji Maraaaaaaaaaaatu TARIIIIIIIIIIIIIIIIIIME MAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAÀAAAAAAAAAAAAAAAAAAARA
 
Halafu km nakufaham ww,nahisi tuko ofisi moja maana kati ya maeneo tunayofanyia kazi ni hayo. Na mtu huwa akitaja tu basi wote hoi kwa kicheko.
 
Back
Top Bottom