Tupia jina la demu wako wa kwanza kabisa hapa hasa la zamani.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tupia jina la demu wako wa kwanza kabisa hapa hasa la zamani....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Rasib, Sep 1, 2012.

 1. Rasib

  Rasib JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani wanajamvi leo nakuja kwa namna hii, demu wako kwanza kabisa alikua nani hasa la nyumbani?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,561
  Likes Received: 10,039
  Trophy Points: 280
  Demu wangu wa kwanza alikuwa anaitwa Emperior Leather.
  Alipo adimika nikahamia kwa mrembo Revola IPP Limited.
  Huyu nae kafa sasa nimekuwa mkiwa natunzwa kwenye kambi ya Omo
   
 3. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,550
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  anaitwa Rasib
   
 4. the horticulturist

  the horticulturist JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 180
  aise jina cmkumbuk ila nakumbuka alikuwa beki3 wa hm na alikuwa mkubwa sana kwangu!hapo niko darasa la 3
   
 5. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Mh darasa la tatu i2thedi?
  Haki ya nani ingekuwa kifutio ss hv kimekwisha kabisa!
   
 6. m

  mianzini Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 30, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakwangu alikuwa anaitwa ana marufu kama chongo alikuwa beci3
   
 7. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,128
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  Alikua anaitwa salma
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,753
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  samahani mkuu alikuwa anafanana na jina lako
   
 9. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,341
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Duh,nilitaka kukurupuka!!Kumbe mmeuliza mademu tu?Mkianzisha uzi unaohusu rafiki wa kiume wa kwanza,ntarudi!!!
   
 10. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mimi hakuaa demu wangu ila alikuwa mtoto wa rafiki yake dingi alianza kuniletea shobo anakuja gheto kwangu na kanga moja tu mara aiangushe mara hapo hapo nikavunja nae amri ya 6, alikuwa anaitwa Flora
   
 11. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,518
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  anaitwa manka
   
 12. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,802
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Punyeto

  Hadi

  Janaaaaa, et 30yrs lohhhhhhh
   
 13. Chakuchambuka

  Chakuchambuka JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du umetisha....kwel we unamapenz ya kwel kwa dem wako
   
 14. Chambo81

  Chambo81 JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Safi sana hapo babu no stress!!!!ful kujikadiria....Mi wa kwangu simjui jina ila mpaka leo yupo tunaonana tu ila yeye kanisahau kwa sababu ana wateja wengi na ilikua zamani sana since 1995 nipo class 6...ni mama kibonge cha mtu...ni wale wenzetu mabwenga wazee wa senene maeneo ya buguruni kwenye vibanda vyetu vileeeee mitaa ya Madenge!!!Mi namkumbuka kwa sababu ndo alonibikiri nakumbuka siku hiyo vitu vilintoka si mchezo toka kwenye ndoto pevu mpaka kitu real!!!mchezo niniiii!!!!
   
 15. MatikaC

  MatikaC JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,200
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  najaribu kukumbuka jina la njemba wangu wa zamani, yaani limenitoka! oh RUTASHUBANYUMA
   
 16. molely molly

  molely molly JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 317
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  damu ya yesu masia aleluya*2 ah aleluya ah aleluya damu yatakasa zambi aleluya
   
 17. S

  Shuju Member

  #17
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Du molel bhana huku kasema wachaga hawajui k2 huku haleluya. ama unasema yesu afunke yako
   
 18. phina

  phina JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Alikuwa anaitwa linda..
   
 19. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,881
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  alikuwa beki3 nimemsahau jina. Ila hadi sasa ckumbuki nimeshakanyaga wangapi.
   
 20. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Asha Omega !!!
   
Loading...