Tupeperushe bendera ya tunisia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tupeperushe bendera ya tunisia!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by utiyansanga, Jan 19, 2011.

 1. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kipindi cha miaka mitano ,tumeshuhudia nchi iksambaratika kwa kukosa dira na uongozi kwa hali ya juu.Mifano ni mingi na itaendelea kuja .Tumeona serikali ikikosa kabsa utashi wa kuwatumikia watu WATU WAMEKATA TAMAA ,UFISADI NA MMOMONYOKO WA MAADILI UMNASHIKA KASI;KAMA HATUA HAZITACHUKULIWA HILI OMBWE LAUONGOZI LITATUANGAMIZA.TUSIJE TUKAWAPA WATAFITI KAZI YA KUFUFUA MAKABURI YETU KUANGALIA TULIKUWA WATU WA AINA GANI TUKIACHA HAYA YAKIENDELEA!SASA TUCHUKUE HATUA!
  Tuchukue Hatua!
  Tuacha kulalamika. Wana wa Israel walipokuwa wanahaingika ktk milima ya Ethiopia Mungu ALIAWAAMBIA ..SASA YATOSHA !NA SISI IFIKIE HATUA TUSEME SASA YATOSHA !
  KULALAMIKA HAKUTOSHI ...TUINGIE MITAANI TUASI WATAWALA HAWA MADHALIMU!KAMA MSUMBIJI WALIINGIA MITAANI KUPINGA ONGEZEKO LA MKATE KWA 8% LEO SISI VIPI NDANI YA UCHAFU WOTE HUU?
  MFANO WA TUNISIA UNAFAA SANA ....KWA NN TUTALIWE BADALA YA KUONGOZWA.
  TUCHUKUE BENDERA YA TUNISIA TUIPEPERUSHA SAA YA UKOMBOZI NI SASA
   
Loading...