Tupendekeze majina ya mawaziri wanaofaa sasa.

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,230
2,000
kufuatia ripoti ya kamati iliyoundwa kuchunguza matokeo ya opertaion TOKOMEZA ujangili iliyoendeshwa na wizara ya maliasili na utalii,ikishirikina na wizara ya mambo ya ndani na JWTZ,imepelea mawaziri wanne kufutwa kazi akiwemo waziri wa mambo ya ndani-SHAMSI VUAI NAHODHA,waziri wa maliasili na utalii-BALOZI KAGASHEKIi,waziri wa uvuvi na mifugo-mh MATHAYO DAVID,na waziri wa mambo ya ndani-EMMANUEL NCHIMBIi,
ningependa tutumie jukwaa hilo wanajf tupendekeze wabunge wanaofa kuchukua nafasi tajywa hapo juu za uwaziri ikiwezekana tutaje na sababu kwanini tunawapendekeza katika nafasi hzo husika,naomba kuwasilisha....

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom