Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

Status
Not open for further replies.
nafikiri tumuache huyu mzee apumzike kwa amani.. coz naamini enzi zake mambo yanayoendela sasa hayakuwa na nafasi.. hatukuwah ona watu wanaenda vamia central enzi hizo
 
Kama Nyerere alianzisha udini, nani anayeuendeleza? Chuki za kidini zinamsaidia nani? Mwisho wa yote atakayepata maswahiba ya kufanya hizi fujo ni nani?
 
Haya mambo ya udini Nyerere aliyazungumza sana mwishoni mwa maisha yake.. Nakumbuka kwenye moja ya hotuba yake aliasa suala la udini liendelee kupigwa vita.. Maana kuna alisema kuna watu wana udini sana.. Wanataka kuweka mbele udini wao.. Na alihimiza kwa dini zote.. Yale aliyoyasema ndo hayo ambao yanatokea sasa.. Vinatafutwa vicingizio ili watu wahalalishe udini wao.. Binafci nasononeka sana maana miongoni mwa ndugu zangu ni wa dini tofauti na mie.. Rafiki zangu wengi ni wa dini tofauti.. Kwa hiyo ninapoona post kama hii ambayo imekaa kiuchochezi zaidi kuliko kuelimisha inanifanya nirudi kwenye maono ya Mwalimu pale Kilimanjaro Hotel mwaka 1995.. Hakuna atakaesalia salama..
 
Kuna dini inayosema eti yenyewe ni ya amani kama jina lao lilivyo, ni ipi? Ona Tz vurugu zilizopo ambazo watu wazima wanakasirishwa na mambo ya kitoto, elshabaab, bokoharam, alkhaida, vurugu za kiwendawazima huku na huko. Sasa dini hiyo ni ipi?
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema,awamu yake imefanya mema na ya kijinga.Akaonya ya kijinga yaachwe na mema yafuatwe.
"Tatizo lenu mnaacha mema mnafuata ya kijinga"
R.I.P Nyerere uliyotabiri yametokea
 
ulicho kisema ni kwel kabisa,mie kinacho nishangaza ni hawa ndugu uamsho wanawaita western people makafir ila ndo wamejazana na kuwabana hao makafiri kwenye nchi zao,mfano wewaulize ndo yao kuu kama siokufika London
Ni makanisa mangapi yaliteketezwa wakati wa nyerere, ukilinganisha na serikali ya Kikwete?

Ni misikiti mingapi iliteketezwa wakati wa nyerere, ukilinganisha na serikali ya Kikwete

Ni katika mazingira gani vilitokea vikundi kama uamsho kuchinja watu kwa kisingizia cha kudai haki kwa mgongo wa dini?

Ni Polisi wangapi waliuliwa wakati wa nyereye kwa misingi ya vikundi vya watu kwa kisingizio cha kutetea dini?


Na bado, Tanganyika ikijitenga tu Unguja na Pemba zitageuka somalia, waliochapana kule mogadishu waislamu

watupu, wala mwalimu Nyerere hakuwepo kule. Najuwa mtakanusha lakini nisuala la muda tu mtakuwa wakimbizi

marekani kwa makafil
 
Kipindi cha Nyerere ni makanisa mangapi yalichomwa ?,

Ni wangapi waliandamana kwa kuvutia Imani yao ?
 
Pia tafuta mda ili upate idadi ya shule za kikristu zilizotaifishwa ili zitoe elimu kwa wote badala ya wakristu then nitaanza kutiririka kuanzia apo
 
sawa tokea alivyouanzisha huo udini ina maana sasa hivi Mmekuja kuuondoa kwa kuchoma makanisa. Mbona nyie mna miskiti mizuri na hakuna mtu aliyewahi kuichoma especially Tanzania hii, tena naamini itabaki milele hakuna atakayejishughulisha kulipiza mabaya.Zaidi tunawaombea tu na kila mtakapoyachoma yatajengwa tena

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tuwe macho na wazushi. Maneno hayo hayahalalishi vitendo vya kinyama vinavyofanywa na watu wasiokuwa na maadili. Hatukuwahi kuona makanisa wala misikiti ikichomwa, wala watu kuuana eti kwa sababu ya udini. Tumeona wakristu wakioana na waislamu na tumekuwa tukiishi kwa amani na upendo! Hii mbegu mbaya imepan
 
ila pia kuna waislam wa staarabu, tusisahau hilo. lakini pia naona kama elements za alkaida zimeingia vile? vyovyote vile ukristo haupo kwa ajiri ya vita na waislamu. ndio maana uharibifu wanaoufanya wenzetu waislamu wanaishia mikononi mwa wajeda.
 
Sura ya udini nchini kwetu unaonesha kuwa na sura ya siasi kwani linalopiganiwa haliendani na matukio yanayoendelea,kutotii mamlaka ya nchi na kufata sheria kikatiba kunayumbisha taifa kiuchumi na amani yake,wana siasa kutumia neno la udini ni mimba ambayo mtoto wake ndio huyu!tuwe makini na nchi yetu kwani imeyumba kiuchumi tunapoleta na hizi bajeti nyingine tutaumia sisi wenyewe,
 
Na Rwanda pia waislam waliua? MOU pia wameiweka waislam ili wakristo wagawane misaada na serikali..Kufelisha wa2 wa dini moja pia bahat mbaya? Tangu uhuru katibu wa necta haijawah kua muislam,.mawazir wakuu 8 waislam wawili,..mawazir na manaibu kila wizaqa tangu uhuru had leo pigen hesabu je waislam wamesababisha?
 
Na Rwanda pia waislam waliua? MOU pia wameiweka waislam ili wakristo wagawane misaada na serikali..Kufelisha wa2 wa dini moja pia bahat mbaya? Tangu uhuru katibu wa necta haijawah kua muislam,.mawazir wakuu 8 waislam wawili,..mawazir na manaibu kila wizaqa tangu uhuru had leo pigen hesabu je waislam wamesababisha?

kwa mawazo kama haya hii kweli hii vita itatokea tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom