tupendane kwa namna hii, ilindoa zetu zijae faraja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tupendane kwa namna hii, ilindoa zetu zijae faraja

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, May 16, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  Twafafanua upendo nana gani?
  Imeandikwa, 1Wakorintho13:4-7 "Upendo
  huvumilia, hufadhili, upendo hausudu;
  upendo hautabakari; haujivuni; haukosi
  kuwa na adabu; hautafuti ambo yake;
  hauoni uchungu hauhesabu mabaya
  haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja
  na kweli huvumilia yote; huamini yote
  hutumaini yote hustahimili yote; upendo
  haupungui neno wakati wo wote bali
  ukiwapo unabii utabatilika zikuwapo lugha
  zitakoma yakiwapo maarifa yatabatilika kwa
  maana tuna fahamu kwa sehemu na
  tunafanya unabii kwa sehemu."
   
 2. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama sina upendo je?
   
Loading...