miss naire
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 237
- 228
Habari wana jamvi, tupeane uzoefu jamani practical interview za utumishi zinavyo kuwa kwa kada yetu ya ICT, netoworking, system admin, system analyst, database admin, business analyst, kama umewahi fanya yoyote ile tupe mrejesho maswali yanakuwaje, naona kuna wanao pata 90% na wengine wanapata 20%, tusaidiane wandungu, mtu ajue anapokosea