Tupeane uzoefu practical interview za utumishi, ICT field


miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2016
Messages
212
Likes
175
Points
60
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2016
212 175 60
Habari wana jamvi, tupeane uzoefu jamani practical interview za utumishi zinavyo kuwa kwa kada yetu ya ICT, netoworking, system admin, system analyst, database admin, business analyst, kama umewahi fanya yoyote ile tupe mrejesho maswali yanakuwaje, naona kuna wanao pata 90% na wengine wanapata 20%, tusaidiane wandungu, mtu ajue anapokosea
 
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Messages
4,680
Likes
4,584
Points
280
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2012
4,680 4,584 280
Uzi mzuri sana. Subiri waje wahusika.
 
Hong25

Hong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2012
Messages
1,056
Likes
253
Points
180
Hong25

Hong25

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2012
1,056 253 180
Sisi watu wa Network Ukifika huko mambo huwa hiviiii...

set interfaces ge-1/0/5 vlan-tagging
set interfaces ge-1/0/5 unit 10 vlan-id 10
set interfaces ge-1/0/5 unit 10 family inet address 10.10.10.1/24

Ukienda unajua definition za darasani unapata 20%
U have to know things practically.
 
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2016
Messages
212
Likes
175
Points
60
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2016
212 175 60
Sisi watu wa Network Ukifika huko mambo huwa hiviiii...

set interfaces ge-1/0/5 vlan-tagging
set interfaces ge-1/0/5 unit 10 vlan-id 10
set interfaces ge-1/0/5 unit 10 family inet address 10.10.10.1/24

Ukienda unajua definition za darasani unapata 20%
U have to know things practically.
asante sana
 
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2016
Messages
212
Likes
175
Points
60
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2016
212 175 60
Sisi watu wa Network Ukifika huko mambo huwa hiviiii...

set interfaces ge-1/0/5 vlan-tagging
set interfaces ge-1/0/5 unit 10 vlan-id 10
set interfaces ge-1/0/5 unit 10 family inet address 10.10.10.1/24

Ukienda unajua definition za darasani unapata 20%
U have to know things practically.
hapa unatumia packet tracer au
 
Hong25

Hong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2012
Messages
1,056
Likes
253
Points
180
Hong25

Hong25

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2012
1,056 253 180
asante mkuu, vip kwingine hukuwahi kufanya au umebase networking tu
90% Networks, labda Server Virtualization baadae lakini sio saa hizi..what are you up to?
 
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2016
Messages
212
Likes
175
Points
60
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2016
212 175 60
90% Networks, labda Server Virtualization baadae lakini sio saa hizi..what are you up to?
network pia siko vibaya na database pia niko fit oracle, nataka kwa sasa nifanye pepa za utumishi, writen siogopi, practical ndo bado siko vzr
 
Hong25

Hong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2012
Messages
1,056
Likes
253
Points
180
Hong25

Hong25

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2012
1,056 253 180
na utumishi pia kwenye interview wanatumia nn, hii au packet tracer
Sijawahi kufanya practical za utumishi..Probably wanatumia physical gear kabisa..wenye uzoefu wanaweza wakaja kutusaidia..lakini all in all kuwa vizuri kwenye hands on inasaidia sana..
 
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2016
Messages
212
Likes
175
Points
60
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2016
212 175 60
Sijawahi kufanya practical za utumishi..Probably wanatumia physical gear kabisa..wenye uzoefu wanaweza wakaja kutusaidia..lakini all in all kuwa vizuri kwenye hands on inasaidia sana..
thanks a lot, be blessed, walio pita utumishi hawataki hata kusema walivyo fanikiwa wanataka tuzidi kusugua gaga mtaani
 
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2016
Messages
212
Likes
175
Points
60
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2016
212 175 60
Mkuu utasuguaje gaga na kule umesema una Kazi ya mshahara wa 1.3M a month?
sijauliza kwa ajili yangu mwenyewe, by the way nna kazi na nna kilimo, ila natamani kufanya kazi ya carier yangu, kama umesoma uzi wangu nafanya customer service and not IT, wacha kukariri
 
Padri Mcharo

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Messages
1,929
Likes
3,365
Points
280
Padri Mcharo

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2015
1,929 3,365 280
sijauliza kwa ajili yangu mwenyewe, by the way nna kazi na nna kilimo, ila natamani kufanya kazi ya carier yangu

Huna lolote wewe, njaa inakusumbua...
Jamaa amekuumbua umeanza kujishebedua...
Na Kazi hupati Ng'oooo!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,235,846
Members 474,742
Posts 29,238,336