Habari za jioni wadau wa jukwaa hili,Lengo la kuleta uzi huu nikuzijua changamoto na jinsi tutakavyoweza kuzikabili ili tukiwa tunafanya matangazo tusiwe tunarudia makosa
Binafsi ngoja nizitaje changamoto zangu nazokumbana nazo ili kama kuna mdau anaeweza kunielewesha nisirudie tena makosa
1. Changamoto ya kwanza ni kudaiwa hela,sijui inatokea vipi mpaka fb wanakua wananidai kwa sababu huwa nikitaka ku boost post budget ninayoiweka inakua direct na pesa ambayo nimeiweka katika acc ila mwisho wa siku naishiwa kudaiwa
2 changamoto ya pili naona saiv nikiboost tangazo haliwafikii watu weng kama navyotarajia na ilivokua mwanzo sasa hapo sijajua tatizo ni nn
Kwa atakae nisaidia kwa hayo ntashukuru sana