Pita pita zangu kwenye web za magari meona brevis rangi nyeupe rim nzur low profile interior ni cream with leather seat bei usd 2600 tu..
Hebu tuambizane vitu vya kufanya na kuto kufanya ili brevis iishi katika ubora wake...na makosa tunayofanya pasipo kujua kupelekea kuua haya magari..maana naamini hzi n gari nzur huenda hatujua namna bora ya kukaa nazo...mfano injini yake mesoma sehema wanasema ina nguvu na inakula mafuta kidogo lakin watumiaje wengi wana lalamika inakula sana mafuta inazimika hovyo....michango yenu wadau tuelimishane..