Tupeane Updates za Ajira za JKT kwa mwaka 2019 hapa

Mnapapendea nini huko akuja ajira? Tatizo la Watanzania wengi awapendi kuambiwa ukweli, kwakua kuna uhaba mkubwa wa ajira wamejikuta wakienda maeneo kama hayo ili kupoteza muda.

Wito wangu kwa JKT
Jaribuni kuchukua idadi ya watu atakama ndogo ambayo mtaweza kuwapatia ajira, mmekua mkitumia vibaya fedha za serikali pasipo na faida yoyote.
 
Mnapapendea nini huko akuja ajira?? Tatizo la watanzania wengi awapendi kuambiwa ukweli,kwakua kuna uhaba mkubwa wa ajira wamejikuta wakienda maeneo kama hayo ili kupoteza muda.

Wito wangu kwa JKT
Jaribuni kuchukua idadi ya watu atakama ndogo ambayo mtaweza kuwapatia ajira,mmekua mkitumia vibaya fedha za serikali pasipo na faida yoyote.
Umeandikaa point broo wanazingua sanaa asee,, lakin kwa mujibuu wa kichwa cha habar ni kupeana updatee kua nafasi zinatoka lini na sioo kulaumu
 
Back
Top Bottom