Tupeane updates ya miradi iliyokwama kumalizika kutoka sehemu mbalimbali

1 na 3 umefatilia ukajua sababunkama pesa ishatolewa?? ilitolewa lini?? kwann haukukamilika kipindi hicho??

mradi ya JPM hasa ya zahanati na hospitali ni bomu na inachechemea tangu akiwepo nenda hospitali ya wilaya Nyan'hwale...... sio kwamba alikua hapigwi!!!
Ndo mtoa mada anataka tuijadili sasa na kuisema ili viongozi wafanye kazi,au kuna sehemu kasema kwa kuwa ni ya Magu basi uachie,nyie vijana wa UVCMM ni wajinga sana
 
Mm mkuu ajira 2016 hadi 2020 kwenye taasisi za serikali ni kama hazikuwepo ukilinganisha na mahitaji ya taifa.
Kuna wanaosema kuwa miradi ilikuwa inatekelezeka average by 20% !!! sababu ya ukata.
Lakini kama Magufuli government ilikopa sana tena kwenye private bank wakati wa kipindi chanke ni wazi riba ni kubwa kuliko benki au taasisi za Fedha kama World Bank,IMF,ADB,au Paris Club.
Hizo pesa 29 Trillion shillings zilikwenda wapi? Kwani miradi mikubwa ilikuwa tunalipa kwa installments tena kidogo kidogo,huku tuliambiwa tunatumia kodi zetu!.
Tujiandae kisaikologia hakutakuwa na maisha afueni labda 2024 and onwards.
Magufuli labda angetupa jipu kwanini alienda opposite na Finance Management Protocol, lakini hayupo.
Hili swali lako Mpango ndo inatakiwa majibu au Nyamititi
 
Hujui hata maana ya Ring road
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom