monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 720
- 943
Hamjambo,
Nimeona nafasi za kazi za muda katika uchaguzi wa serikali za mtaa lakini nyingi zinazotoka ni hlmashauri za mikoani
Je vipi kwenye halmashauri yako hapa Dar nafasi zimeshatoka au zinatarajia lini kutoka?
Maana kwenye halmashauri yangu mpaka sasa bado pako kimya.
Japokua hizi nafasi za kazi zina kujuana kwingi lakini tusikate tamaa tupeane apdate tukajaribu bahati zetu.