Tupeane update kuhusu madaraja kwa watumishi

kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
661
686
Ndugu wanajamvi,

Mimi ni miongoni mwa watumishi ambao nilistahili kupanda daraja tangu April 2016. Ndugu zangu wakipandishwa madaraja.

Je nitalipwa tokea nilipostahili kupanda daraja au?

Naombeni msaada wenu wakuu.
 
Nafikiri kupandisha watu madaraja haitakuwa rahisi kama wanavyosema maana wataanza kuchokonoa na kutafuta sababu kibao za kukwamisha watu kupanda. Utasikia huna hiki, mara ooo subiri tuhakiki maksi zako, mara umri wako hauendani na cheo unachotaka.... ili mradi itakuwa mbinde. Subirini mtaniambia
 
Mkuu alisema mwezi huu november,madaraja yaanza kutolewa kwa wanaostahili.Wadau njooni mtoe data.Yaliyomo yamo au?
 
Daima rushwa haitaisha na kupeana huduma kindugu kisa mshahara hautoshi na hiyo kweli kwa mshahara wa mwezi kuinuka kazi labda ukope
 
Back
Top Bottom