Tupeane tips za Valentine day

umukagame

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,044
667
Tchaaaooo.
Heshima kwenu wana janvi.

Kila mmoja tunafahamu Tarehe 14 ni siku ya wapendanao.

Je kwa sisi ambao wapenzi wetu wapo mbali na kuonana ni vigumu unaweza ukamfanyia nini jamaa ukamfarijina yeye akajihisi kweli japo yuko mbali lakini we are together on this special day.

Au nizawad gan naweza kumpa isiyozidi 50k

#Mawazo yenu wakuu na wengine watajifunza kitu.
 
𝕄𝕡𝕚𝕘𝕚𝕖 𝕤𝕚𝕞𝕦 .....𝕂ℍ𝕌𝕄𝔹𝕌
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom