MWONA MBALI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 460
- 610
Wadau,
Mimi nawaza badala ya kuwa tunajadili fursa mbali mbali tu kiujumla. Kwanini tusiwe tunaonyesha mfano mtu yupo Mbeya au Kahama anatujajia bei ya mchele pande hizo? Mtu ambaye yupo Singida atupe bei ya mafuta ya alizeti, mtu wa Arusha labda bei ya maharage, alie sokoni Tandale au Buguruni aseme ni zao lipi linahitajika.
Pia, kujua bei za bidhaa mbalimbali, hii itachochea sana kuongeza udadisi na kufanya michanganuo mingine kama usafiri na vibali.