Tupeane taarifa upatikanaji wa Lodge(gesti) hapa mjini

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,452
17,156
Wakuu naomba tupeane uzoefu wa upatikanaji wa lodge nzuri hapa mjini mabazo mtu ukipata mechi za ugenini unaweza kuwahi kuzicheza bila kupata shida.

Lodge nazoongelea hapa ni zile standard zenye angalau Ac na mazingira mazuri, sio gesti za uswahilini mbavu za mbwa za elfu 5 au 10.

Tuelekezaje kwa hapa dar wapi zipo gesti nzuri ili ukipata kamchepuko kako ukakimbize hapo fasta. Hii itasaidia wengi maana kuna siku nilikua na mtoto mzuri nikazunguka lodge zote za kinondoni hadi makumbusho nazozifaham nikakuta zimejaa ikanilazimu kwenda hotelini nikalipa gharama kubwa sana.

Kwa haraka haraka kama una mchepuko lodge nyingi maeneo ya kinondoni zipo vijana nyuma ya baa ya uhuru peak, nyuma ya meridian, kanisani kwa pinda kuja hadi studio, sinza zipo za kutosha kwenda sim 200, makumbusho/sayansi nyuma ya chuo cha ustawi/haki za binadam, akachube road. Ubungo liver side op na landmark hotel, ubungo maziwa kwenda hadi mabibo hostel, hayo ndio maeneo nina uzoefu nayo.

Tupeane taarifa kuhusu hili wakuu.
 
Nikueleze lodge lakini lazima uwe na Chet cha ndoa...??
 
Back
Top Bottom