Tupeane mrejesho hasa kwa hawa wafanyabiashara humu!

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,737
Ni wazo langu tu limenijia humu Jukwaani,kuna watu tunakuwa serious tunahitaji huduma fulani ila na humu jukwaani kuna watu wasio waaminifu pia wanakuwa serious kuharibu malengo ya watu na wengine matapeli...

Naomba uzi huu utumike katika kulindana malengo yetu kama kuna mtu au kampuni iliwahi kukufanyia kazi yako kwa ufanisi mpaka ukaipenda J.f naomba tupeane mrejesho hapa ili na sisi tuwe na Imani na tupate hiyo huduma.

Mimi natamani kufanya mambo ya maendeleo humu,lakini tangu niuziwe laptop mbovu miaka 5 iliyopita sina hamu....
 
Funguka mkuu,ndio mrejesho wenyewe huo
Atakuja kueleza @youngkato
Screenshot_20190915-091125.jpeg
 
Humu biashara zipo

Nilichogundua wateja wala hawana kelele
Yaani ni wasomaji tuu na wapo vizuri

Ila pia wasumbufu wapo,
Nilishawahi kupigwa simu

Mwingine anaagiza suruali ukifika eneo la tukio hapokei simu!
Sijui anataka tu kujua Hornet kafananaje!
anakaa dirishan anaanza kukuchek wakat unahangaika kupiga smu anaanza kusema khaaa kumbe hornest ndo mrembo hivi kama nakuona hv
 
anakaa dirishan anaanza kukuchek wakat unahangaika kupiga smu anaanza kusema khaaa kumbe hornest ndo mrembo hivi kama nakuona hv

Siku hizi naagiza bodaboda ama namwambia mteja afate sehemu fulani
 
Mizigo ipo ya kumwaga kama mnavyoina.
Samsung s6 brand new
Gb 32
4glte
Ram 3gb
Camera 16mp
Bei yetu ya offa kumaliza stock
Only 300000tsh
Dsm free delivery
Call 0716119347.
Ofisi zetu zipo mlimani city
a92e0d358c933df81e0989e7660f1017.jpeg
4a2e4df063807f6eaec92eb6d781cc37.jpeg
 
Humu biashara zipo

Nilichogundua wateja wala hawana kelele
Yaani ni wasomaji tuu na wapo vizuri

Ila pia wasumbufu wapo,
Nilishawahi kupigwa simu

Mwingine anaagiza suruali ukifika eneo la tukio hapokei simu!
Sijui anataka tu kujua Hornet kafananaje!
Kweli kabisa, wateja wa kweli huwa hawana maneno sana kwenye uzi bali vitendo!

Umenikumbusha mpuuzi mmoja alinichomesha mahindi na bidhaa zangu mpaka basi, kila nikimpigia simu anasema anakaribia kufika kumbe mwongo. Kuna watu wanakera sana aisee
 
Hawa wa Jf unakuta anataka tu akuone

Halafu mara kibao nimekuwa naagiza mtu,akimwona anahisi ni mimi
Akija Jf anaanza kujifanya ananijua

Kama mtu anataka kufahamaiana si bora kuwa wazi kuliko kumweka mtu kwenye mode ya biashara kumbe michosho tu
 
Back
Top Bottom