- Thread starter
- #21
Huijui CCM wewe, kaa kimyaa.kura yangu inakwenda kwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi, mnapiga sana kelele kuongoza nchi sio suala la mzaha mzaha. Kuna mtu chama chake kimeshindwa hata kujenga ofisi ya chama licha ya ruzuku kedekede leo anaomba ridhaa tumpe uongozi aijenge Tanzania? Hizi ni dharau za waziwazi na majibu atayapata tarehe 28 Oct. Hizi thread zote tutazifukua maana watu wa hulka kama ya mleta mada wana kumbukumbu ndogo sana. Amesahau kama 2015 alideki barabara .