Tupeane mbinu Mbalimbali za kuwanasa mademu kirahisi bila kutumia nguvu nyingi sana

Nina hakika mada ipo jukwaa sahihi kabisa.

Binafsi nisiwe mchoyo wa mbinu yangu ambayo huwa naitumia kuwanasa mademu kirahisi hasa wale wanaopenda kitonga na vitu rahisi.

Basi nikitaka demu kitonga nafuata hatua zifuatazo,shika kalamu na karatasi au kama ni jiniaz kama mimi huna haja...tunaanza sasa.

Hakikisha una simu yenye whattsap kwanza,na uwe umeshakua na number za mademu wenyee unawataka...kuwapata hawa number zao na kuhakikisha yako wanayo nitaandika kwenye uzi mwingine..

Hatua ya 1....Fungua Whattsapp.

Hatua ya 2....Fungua kwenye Status update.

Hatua ya 3....Andika "Who is available for Pizza&Burger today"....(tafadhali hakikisha ni kiingereza,nasisitiza,english hapo ni necessary)

Hatua ya 4....Weka emoj ya Pizza na Burger

Hatua ya 5...Update status yako.

Basi tumemaliza...hapo sasa vuta pumzi,kama una vumbi la kongo paka kabisaaa,au unatumia mchuzi wa pweza,anza kula karanga zako unapukuchua unapuliza maganda hivi puuuuuuuuu..hesabu yanavyoruka na kuanguka chini.

Kaa kama dakika 15 hivi,then fungua tena whattsap yako...sasa inbox kwako kutakua kumejaa reply za wale wadada wapenda kitonga.

Jichagulie mmoja,ingia google map share location...

Hapo sasa akifika gheto/Lodge mimi sikuelekezi cha kufanya bro...wanaume kusaidiana mbunu.

Naombeni na nyie Mbinu zenu sasa,kuelekea sherehe za kufunga Mwaka 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nipo kwenye magroup kama mawili matatu hivi ya mpira wa miguu na kuna wasichana kibao, huwa natumia hii natoa ofa kwa wasichana wawili kuwalipia uwanjani kila group then mwisho wa siku leo namla mmoja na kesho mmoja yaan sasa hivi nimekonda balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo sasa vuta pumzi,kama una vumbi la kongo paka kabisaaa,au unatumia mchuzi wa pweza,anza kula karanga zako unapukuchua unapuliza maganda hivi puuuuuuuuu..
 
Nina hakika mada ipo jukwaa sahihi kabisa.

Binafsi nisiwe mchoyo wa mbinu yangu ambayo huwa naitumia kuwanasa mademu kirahisi hasa wale wanaopenda kitonga na vitu rahisi.

Basi nikitaka demu kitonga nafuata hatua zifuatazo,shika kalamu na karatasi au kama ni jiniaz kama mimi huna haja...tunaanza sasa.

Hakikisha una simu yenye whattsap kwanza,na uwe umeshakua na number za mademu wenyee unawataka...kuwapata hawa number zao na kuhakikisha yako wanayo nitaandika kwenye uzi mwingine..

Hatua ya 1....Fungua Whattsapp.

Hatua ya 2....Fungua kwenye Status update.

Hatua ya 3....Andika "Who is available for Pizza&Burger today"....(tafadhali hakikisha ni kiingereza,nasisitiza,english hapo ni necessary)

Hatua ya 4....Weka emoj ya Pizza na Burger

Hatua ya 5...Update status yako.

Basi tumemaliza...hapo sasa vuta pumzi,kama una vumbi la kongo paka kabisaaa,au unatumia mchuzi wa pweza,anza kula karanga zako unapukuchua unapuliza maganda hivi puuuuuuuuu..hesabu yanavyoruka na kuanguka chini.

Kaa kama dakika 15 hivi,then fungua tena whattsap yako...sasa inbox kwako kutakua kumejaa reply za wale wadada wapenda kitonga.

Jichagulie mmoja,ingia google map share location...

Hapo sasa akifika gheto/Lodge mimi sikuelekezi cha kufanya bro...wanaume kusaidiana mbunu.

Naombeni na nyie Mbinu zenu sasa,kuelekea sherehe za kufunga Mwaka 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
Complicator muhuni sana wewe.. dem akikosa hzo item hpo unastay unamchekelea au vp

Mkuu safi sana

Natumai hadi sasa watu washaliwa humu
Hasa wale wapenda vitonga
 
Back
Top Bottom