Tupeane maujanja ya Excel

Wakuu msaada tafadhali,
Tatizo ni Excel(Product Activation Failed)

Nimejaribu hizi procedures
-Local disc C
-Program files
-Microsoft Office
-Office 15
-OSPPREARM(Kwangu haipo, kuna AppSharinghookController64,MSOHTMED na msoia)
-Run as administrator

Sijafanikiwa, nimejaribu kupiga chabo YouTube but bilabila.

Njuka II
Ukifika kwenye program files usiifungue shuka step moja chini utakuta program files(×86) fungua hiyo shuka kwenye Microsoft office fungua nenda office15 fungua shuka chini utaiona OSPPREARM right click alaf click run as administrator baada ya hapo refresh window
 
Wakuu msaada tafadhali,


Nina masupplier watatu wananisupply mafuta ambayo ni Diesel na Petrol,nimetengeneza formula (Sumproduct) ambayo ina criteria 4, ambazo ni Customer Name, Fuel type,Litters, na amount sasa changamoto inakuja kwenye kupata sum ya litters as per customer kama ni Petrol au Diesel.

Sasa nahitaji kupata hiyo sum ya lita View attachment 2879454
Tumia formula uliyotumia kupata amount, then kwenye hiyo formula column ya ammount weka column ya litres
 
88 Reactions
Reply
Back
Top Bottom