Tupeane maujanja hapa

Sep 3, 2017
9
0
Kuna software ya computer inaitwa Sdata tools. Hii software inafanya kazi ya Ku double ukubwa wa memory card na flash. Kama inaukubwa wa 2gb inakuwa 4gb, 4gb-8gb, 8gb-16gb na kuendelea.

Niliwahi kuitumia kwa memory ya ukubwa wa 4gb ikawa 8 gb, sasa hiyo software ya Sdata tools niliipoteza. Kwahiyo kama kunamtu anayo hiyo software ya Sdata a share nasi. Maana haina ukubwa, ukubwa wake hauzidi 1.1mb.

Na pia nitatoa link ya kuweza idownload hiyo Software, Kwa yule ambaye atatuma atume software na sio apps ya apk, maana site nyingi za kuweza idownload hiyo software wanatoa apk (hapo kuwa makini).

Link ambayo ninayo mie inaniandikia invalid link, kwa ataeweza download a share nasi au kama MTU anayo aitume.

Link hiya apa chini ya kudownload
http://www.filedropper.com/processing/filedownload.php?id=sdatatoolgooglearnercom
73bf04b2e169a7b3b871a8340b37d608.jpg
 
Hapo mkuu una change Value tu ile...ila storage itabak kua ileile...
 
Hauwezi kubadili 4Gb kuwa 8GB kwasabau uwezo wa kuhifadhi upo kwenye hardware sio kwenye software.

Kinachofanya hii software ni kubadili tu ule muonekano wa size kwenye compyuta kwa hiyo hiyo Flash ukiichomeka itaonyesha 8GB ila ukijaribu kuweka file za 8GB nusu zitacorrupt na kuharibika.
 
Hii kitu ilishamalizwa kujwaan humu tangu mwaka 2011 uko...ndiomana tubakujib haiwezekan hapo una fake tu 4 ionekane 8 ila size itabak ile ile
Nilisearch nikaona empty, haijawai jadiliwa, ilikuwa na kichwa kinachosemaje?
 
Kwahiyo na hii software ya kuludisha data ulizo farmat mtasema nayo ni fake?
Ease Us data recovery
Sasa kurudisha data na ku change drive size huon vitu viwil tofaut mkuu?

Kama ww umefanikiwa kuchange size bas hakuna haja ya watu kununua 8GB ilihal wanaweza ifanya 4GB kua 8GB
 
Nilisearch nikaona empty, haijawai jadiliwa, ilikuwa na kichwa kinachosemaje?
Nitaisaka kama ipo nitaweka link...nakumbuka thread tangu mwaka 2011 iliwahi kuongelewa

Nyingine ipo ya 2016 ukitafuta kwa google bas results za jf pale utakuta thread
 
Mkuu mleta Mada hapo nisawa na chupa ya maji ya lita 1 ubadilishe label uandike lita 2 then ukajaze maji ukizani yataingia lita 2 kama label inavyosomeka.. Miaka elfu mkuu ni HAIWEZEKANI.
 
Back
Top Bottom