Tupeane maendeleo na matokeo ya uchaguzi wa Zambia hapa

MATOKEO YA AWALI ZAMBIA MGOMBEA WA UPINZANI HAKAINDE HICHILEMA ANAONGOZA HUKU RAIS ANAYETETEA KITI CHAKE AKISHIKA NAFAS YA PILI WENZETU WALIISHAACHA MAZOEA JMN.SOURCE DW
 
HADI SASA EDGA LUNGU ANAMSOGELEA SANA HICHILEMA.LAKINI TUENDELEE KUSUBIRI ZAIDI.
 
Kawambia nani hayo matokeo au mnatengeneza majanga yakitangazwa tofauti na matokeo yenu hayo mnakuwa wambea kama mnaishi zambia
 
halafu ili mtu atanganzwe mshindi lazima akifikishe asilimia 50,hope hawatakwenda ngwe ya pili.
 
Matokeo ya majimbo 29 Edgar Lungu wa PF 262149 na Hichilema Hakainde wa UPND 243794
 
Kawambia nani hayo matokeo au mnatengeneza majanga yakitangazwa tofauti na matokeo yenu hayo mnakuwa wambea kama mnaishi zambia
Wewe kama uko Chato kuna wengine wako mitaa ya mbele acha tukujuze kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom