Tupeane Link Za Magroup Ya whatssap na Telegram Hapa

Rdj Shibo

Member
Joined
Jan 5, 2018
Messages
46
Points
95

Rdj Shibo

Member
Joined Jan 5, 2018
46 95
Karibu tupeane link za magroup ya whatssap na telegram ya Tanzanian na nchi nyingine kinacho itajika share tuu link ya group tujiunge nasi karibu
Ahsante
 

Joe Unruly

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Messages
234
Points
250

Joe Unruly

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2016
234 250
Kwa wale watumiaji wa telegram kuna channel ztazokuwezesha kupata vitabu na documents mbalimbali
in softcopy.
1. t.me/HBR_business
humu kuna softcopy mbalimbali ikiwemo magazines kama the wall street journal, financial
times, TIME, History magazine, USA today, the Economist, the NY times etc.
2. t.me/the_economist_sanctum
kwa wapenzi wa gazeti la The Economist.
3. T.me/booksmania
4. T.me/BooksNquotes
5. T.me/novelsrepository
Humu kuna novel za kutosha kwa wapenzi wa novels. Kuna kina James Hadley Chase, James
Patterson, Stephen King, Gillian Flynn, Mario Puzo, Frederick Forsyth, Jeffrey Archer, Agatha
Christie, J. K. Rowling, George R. R. Martin, Dan Brown etc. (Robert Ludlum sijaona vitabu vyake
humu).
6. T.me/booksmag
7. T.me/mfmixebooks
Humu kuna novels, magazines, comics, vitabu vya fani mbalimbali kama sciences and finance.
8. T.me/javaebooks
Vitabu vya programming.
9. Traders library
Hii imejaa vitabu vilivyobase kwenye finances, accounting, stock markets, na marketing kidogo,
sema haiku active tangu mwezi wa sita ila ina vitabu vya kutosha.
10. T.me/audiobookclassic
Vitabu mbalimbali vimewekwa humu katika mfumo wa audiobooks. Vitabu vya waandishi kama
Sir Arthur Conan Doyle, Robert Ludlum, Stephen King, Dan Brown vipo katika mfumo wa audio
 

Forum statistics

Threads 1,343,327
Members 515,022
Posts 32,780,846
Top