GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 3,575
- 4,634
Ndio maana alijulikana kwa fumbo la "Haambiliki"... Alikuwa mkali pale alipoona watu hawafanyi kama anavyotaka.
Ndio maana alijulikana kwa fumbo la "Haambiliki"... Alikuwa mkali pale alipoona watu hawafanyi kama anavyotaka.
Alipiga mkwara asiitwe mchonga (meno) la siVYo hilo jina litaondoka na mtu
Jr
Salamu nyingi zikufikie wewe msahana jr kiukweli ninaitaji kufahamu japo kidogo historia yako wewe ninani na unaishi wapi na unafanya kazi gani nimefikia uamuzi huu baada ya kufuatilia bandiko (nyuzi) zako kila mara na namna ya uandisha wako hoja unazozitoa na namna unavo fikiri. Kiukweli ninaona utakua ww si mtu wa kawaida na kama ww ni wakawaida bas kuliko kusubir ufe tuanze kuangaika na kuandika historia yako kama tunavofanya kwa sasa kwa jk. Ninadahani heshima yako uipate mapema nitaomba unisamehe bure kama nitakua nimekukwaza ila ni maowazo yangu ambayo yamenisumbua mda sasa. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana wazanaki walikuwa na Utaratibu wa Kuchonga Meno
Wazanaki wanapenda kula nyama kwahiyo ilo la kuchonga meno lilikuwepo..nia nikurahisha kula😁😁😁😁😁😁😁 Mkuu nipe details kidogo mimi ni mtoto wa juzi sielewi chochote,yani alichonga meno ili yawe makali au alikua na maana gani?
Hii story nilishawahi kusimuliwa na Mzee wanguKuna stori ya muda mrefu kwamba Mwalimu aliwahi kutapeliwa matofali na jamaa mmoja wa Kihaya akiitwa Batenga. Alipogundua kua ameshaingizwa mjini alicheka sana na sio yeye wala serikali iliyomchukulia hatua jamaa!
Sina hakika na ukweli wa jambo hili lakini Mwalimu ni mtu aliyedharau mali hasa mali yake binafsi. Alikua anaumizwa kichwa na mali ya umma
Hakudharau matofali yake, bali alimtumia ujumbe Batenga (ambaye walikuwa na urafiki/utani) kuwa arudishe matofali LA sivyo atamfunga. Kilichotokea Batenga akaenda Msasani na mke wake na watoto, na alikuwa na watoto wengi akamwambia Julius we nifunge tuu lakini sii hawa watoto utalea we we?Kuna stori ya muda mrefu kwamba Mwalimu aliwahi kutapeliwa matofali na jamaa mmoja wa Kihaya akiitwa Batenga. Alipogundua kua ameshaingizwa mjini alicheka sana na sio yeye wala serikali iliyomchukulia hatua jamaa!
Sina hakika na ukweli wa jambo hili lakini Mwalimu ni mtu aliyedharau mali hasa mali yake binafsi. Alikua anaumizwa kichwa na mali ya umma
He was a very humble personHakudharau matofali yake, bali alimtumia ujumbe Batenga (ambaye walikuwa na urafiki/utani) kuwa arudishe matofali LA sivyo atamfunga. Kilichotokea Batenga akaenda Msasani na mke wake na watoto, na alikuwa na watoto wengi akamwambia Julius we nifunge tuu lakini sii hawa watoto utalea we we?
Mwalimu akamfukuza kwa kumuambia hebu nitokee hapa! Unazaa kama kumbikumbi? Na ukawa mwisho wa story ya matofali.
Sana tuu, lakini hakuwa na tabia za kuchukua fedha za umma na kugawa mabarabarani eti ili aonekane ana upendo sana. Hata kama uwezo huo alikuwa nao.He was a very humble person
Mwambie wewe ni jini makata na utamtembelea Leo! Kwi kwi kwi... Niombee niiandike kabla sijalala... Lakini pis karibu pm tuone vile tunaeza fanya... Napokea kwa unyenyekevu mkuu
Jr
Hii ilikuwa ni mila na deaturi, kama masai wanavyo toboa maskioNi kweli alichonga meno!? Lengo lilikuwa nini hasa?